#COVID19 Rais Samia: Tanzania haitakubali chanjo ya Corona kabla ya kujiridhisha

Hivi watajihakikishiaje kuwa iko salama? Si inabidi wafanye clinical trials ambazo zitawachukua sio chini ya miezi sita kwa kikundi kikubwa cha kutosha? Hizo dawa za kufanya hizo trials watazitoa wapi? Na wakati wanangoja hayo matokeo watu wanaendelea kufa.

Amandla...
 
Hiyo sio corona mazee, corona haiwezi kutimba watu wa tano ikaenda, corona ikija inatimba timba zaidi ya watu 100 na kuendelea, in facts corona huwezi kuificha , corona haifichiki, kwani huoni India?
 

Uzuri wake mama na JPM ni mtu mmoja lakini katika mambo ya msingi. Kujiridhisha kwake ni kusikia msimamo wa tume yake ya wataalamu. Kama hivi:



Nyie siyo wasemaji wa mama Samia rais wa JMT.

Huyo msimchanganye na mufti.



Ambaye naye aghalabu hata yale ya nyungu nayo ndiyo basi tena.

Heko Mufti na Heko Samia kwa kuweka wazi misimamo yenu dhidi ya mabush dokta na mamburula wote.
 
Ni

Ushauri tu maana unapigika sana na awamu sita 🤣🤣, na ndo kwanza ni miez miwil tu. Shubaaamiiit!!
Mimi niko vizuri sana aje nani mimi nimwendo wakula bata tu mpaka Mungu anichukue. Usifikiri mimi ni kama hao kula kulala wenzako. Hata akija Rais wa Mashoga Lissu mimi nitakuwa nakula bata tu mkuu!!
 
Jamaa yangu mmoja kaburu aliipata hapo zanzibar tukamshauri tiba za magu zile za vitunguu n.k na nini baada ya siku 3 akawa poa, alirudi SA baada ya kama miezi mitatu, akakutana na second wave, bado kidogo aage dunia, baada ya kupona akarudi tz na hataki kabisa kurudi tena SA, huku weekend ni Zenji ama bara na hapo ni bata tuu

Huu ugonjwa wa kuathiri mfumo wa upumuaji una mengi nyuma ya pazia
 
Hiyo sio corona mazee, corona haiwezi kutimba watu wa tano ikaenda, corona ikija inatimba timba zaidi ya watu 100 na kuendelea, in facts corona huwezi kuificha , corona haifichiki, kwani huoni India?

hukuwa unaona wingi wa misiba huku mtaani, hukuwa ukiona barabara kuelekea Moshi tokea dar ilivyokuwa busy....vipi mbona siku hizi Barabara to Moshi is no longer busy?
 
Kauli hiyo ni pigo kwa mpiga debe wa chanjo Mbowe
Mh Rais Samia haya yaliyowakuta wahindi India yanatokana na misemo hii hii ya wataalam wanaangalia,wanaangalia.Waziri mkuu alinukuliwa akisema miezi michache iloyopita kuwa nchi yake bado inaliangalia suala hilo.Sasa yamemkuta Mamia kwa Mamia ya wahindi wanateketea.Jamani Mh Rais ugonjwa huu haukupi taarifa.TUSIJE KUATHIRIKA KAMA WENZETU.DUNIA YA LEO KIJIJI.MH RAIS AMUA TU.
 
Mama hana uwezo wa kugomea chanzo,watu wajiandae tu chanjo inakuja.watapigwa chanjo ingawaje hawaumwi.
 
hukuwa unaona wingi wa misiba huku mtaani, hukuwa ukiona barabara kuelekea Moshi tokea dar ilivyokuwa busy....vipi mbona siku hizi Barabara to Moshi is no longer busy?
Mtu akifa na corona unaweza kumsafirisha kwenda kumzika wewe kwenye hayo mabasi yenu bila tahadhari? sio nyie, nurse na madaktari wote waliokuwa wana watibu tayari wangekuwa affected va virus, mlifikiri mna uelewa mkubwa wa corona kwa kutangaza uelewa wenu ulivyo chini, watu walikuwa wana wachora tu.
 
Kiongozi badala ya kuinstill confidence unainstill fear kwa wananchi in the name of diplomacy.
Kwa hizo kauli,Mjiandae chanjo inakuja.
Magufuli alikomaa ila alitukanwa sana.
 
Tofauti na JPM, huyu mama anaonekana anaitumia vizuri elimu yake aliyoipata hata kama si kubwa kivile!
 
Kweli kabisa ila upinzani wanasapoti mama akosee kwenye janga hili watu watakapoanza kufa baada ya kuchanjwa na mlipoko kuongezeka wapate ajenda 2025.
maana sasa wamepoteana hawajui wanafanya nini.
 
Na mtashangaa wenye nafasi zao wote watakuwa wamechanja. Unadhani wote wanasubiri kibali cha serikali? Ikija itawakumba walala hoi ambao wanashabikia humu. Msimlaumu mtu.

Amandla...
 
We kama hutaki chanjo, tulia tu kila mtu na maisha yake isiwe tabu... na kila mtu na chaguo na maisha yake...kazi iendelee.
Mpotosheni tu kwani waliochanjwa wameizuia ?lockdown zaidi ya mwaka sasa,unayatamani hayo maisha? Kisa kushobokea uwe kama wanavyofanya wazungu.Umepungukiwa na nini unavyoishi sasa?
Baadaye mnataka kuja kumsimanga rais kaliangamiza taifa.
 
Kwa hiyo unaona hao ndugu zako wawili watu wachanjwe? Watu wamepoteza makumi elfu ya Malaria na maisha yanasonga.
kwa hiyo mkichanjwa na ndugu zako mtaishi milele? Je Ulaya walikochanjwa au India waliochanjwa hawafi?.
 
Wewe kama hutaki chanjo tulia ... wengine wanahitaji sababu either wanamagonjwa sugu ama ni wazeee....

Huu ugonjwa sio wa kubezwa especially kama una tatizo la kiafya ama una umri mkubwa .

Kaa kimya mzee
ama wanataka kusafiri nje ya nchi!
 
Hata chanjo tunazotumia zilikuwa ni mpya sana ulimwenguni muda zinaanza kutumika.Tanzania ilitumia wataalamu wake na washirika wa chanjo ulimwenguni hadi maamuzi ya kuanza kuzitumia yalivyofikiwa.

Sawa Mkuu Tuzidi Kumuomba MUNGU
Nimeandika Meeengi nimefuta sababu Pressure ya Hili jambo ni Kubwa sana!toka Nje au ndani?Sijui?
Mwisho Nimemuweka Tuu MUNGU atusaidie mimi sijui chochote
Ila Tuanze na Viongozi itakuwa Vema sanaa Umri Kuanzia 50yrs kuendelea.Kama Nchi za Wenzetu wanavyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…