Rais Samia: Tanzania ina midomo mingi, kila unalofanya linatafsiriwa

Cha ajabu na wewe upo kutwa mitandaoni tena iliyofungiwa na hao mapimbi wenzako?!
 
Halafu kuna mtu akaja na kidomile cha nywi nywi nywi.
Nchi ngumi hii!
 
Majobless kusema ndiyo kazi yetu.
 
Kufa ni amri ya Mungu, hakuna atakayedumu juu ya uso wa dunia.

Lakini kumbuka kuheshimu sheria za nchi, punguza mdomo mrefu ndio muhimu.
 
Sasa Rwanda na Zanzibar Kuna maendeleo Gani?
Ikiwa hata hawana maji ya kunywa, barabara hawana, watu masikini wa kutupwa
Kuna mtu kamuonea wivu Rais Mwinyi akisema Zanzibar awamu hii wanapendelewa sana nimemkumbusha kwamba huko visiwani Mwinyi anasimama akiwa nyota wa mchezo kwenye kila kinachofanyika huku bara kila mtu ana mdomo mrefu.

Rwanda pia Paul Kagame anafanya kile anachokiona kinaifaa nchi bila kusikika miluzi kutoka kila upande.
 
Unategemea na akili ya kiongozi. Huku kwetu kwa uwezo wa akili wa huyu hata uwe bubu lazima utaongea tu
 
Huo Uhuru wa kufanya anachotaka bila watu kuongea, akafanye kwa familia yake sio nchj
 
Kufa ni amri ya Mungu, hakuna atakayedumu juu ya uso wa dunia.
Hao wauaji, wangejua hilo wangeacha KUUA na kusweoa watu mahabusu kwasababu hata wao WATAKUFA.
Lakini kumbuka kuheshimu sheria za nchi, punguza mdomo mrefu ndio muhimu.
Tumefika hapa tulipo, kwasababu WATAWALA wameshindwa kufuata KATIBA, KANUNI na SHERIA za NCHI.

Unapotawala nje ya UTARATIBU uliowekwa usitegemee watawaliwa wakaheshimu huo UTARATIBU.
 

Raisi fake utamjua tu anaongea Pumba. Tumuombee kama watu wanavyotaka Mungu akamweke mahali pema peponi Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…