Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Stupid🚮🚮Kuna mtu anashangaa kwanini Rwanda na Zanzibar wamepiga hatua, marais hawakutani na wajuaji wengi wa mitandaoni wanaachwa huru kufanya yale ya kitaalam.
Kule Dubai kuna hali ya juu kiuchumi, sababu yule kiongozi wao mkuu alipiga vita wapiga miluzi wa mitandaoni yupo huru kufanya analotaka kwa manufaa ya nchi anayoiongoza.
Demokrasia ikizidi huzaa ujinga mwingi kwa kigezo cha uhuru wa kuongea.
Ulisoma Hadi la ngapi? Hata Ile definition ya Lincoln hujui maana yake?Kuna mtu anashangaa kwanini Rwanda na Zanzibar wamepiga hatua, marais hawakutani na wajuaji wengi wa mitandaoni wanaachwa huru kufanya yale ya kitaalam.
Kule Dubai kuna hali ya juu kiuchumi, sababu yule kiongozi wao mkuu alipiga vita wapiga miluzi wa mitandaoni yupo huru kufanya analotaka kwa manufaa ya nchi anayoiongoza.
Demokrasia ikizidi huzaa ujinga mwingi kwa kigezo cha uhuru wa kuongea.
Nilifika chuo kikuu. Miluzi ikiwa mingi inapoteza muda wa watu kupata maendeleo.Ulisoma Hadi la ngapi? Hata Ile definition ya Lincoln hujui maana yake?
Sasa kama hayo uliyoandika ndo maendeleo kina Mandela walipigania nn?
Kwa hiyo maji. Hakuna kwasababu ya midomo ya watu?
Mkuu Samia ndani ya miaka miwili atamzidi huyo Kagame.Stupid🚮🚮
Sasa Rais wa Rwanda utalinganisha na hii takataka yako??
Wa kujinyonga ni wewe, unayedanganywa na hizi habari za mitandaoni. Umma mkubwa sana ulimpigia kura SSH.Nu kweli mlimpigia kura hilo sikatai, lakini hakufikisha hata kura 5m. Hutaki jinyonge.
Mjinga mwingine huyuDemokrasia ikizidi huzaa ujinga mwingi kwa kigezo cha uhuru wa kuongea.
Nenda China ukapige magoti chini ujengewe viwanja vya Afcon2027 muda umeisha wewe jifanye unavimbisha matako tu hapoMkuu Samia ndani ya miaka miwili atamzidi huyo Kagame.
Bandari ya Tanga ikiboreshwa vilivyo na Bagamoyo ikianza kazi tutawaacha mbali majirani zetu kiuchumi.
Mnapoteza muda mwingi kwenye mabishano wakati uelewa wenu kuhusu mnachobishania ni mdogo sana.Mjinga mwingine huyu
Viwanja vinajengwa muda huu tunavyoongea, kuamini kwamba pesa za ujenzi hazipo huo unakuwa muendelezo wa makelele ya mitandaoni, sehemu ya miluzi mingi inayopigwa na wajuaji.Nenda China ukapige magoti chini ujengewe viwanja vya Afcon2027 muda umeisha wewe jifanye unavimbisha matako tu hapo
Zanzibar haipigi hatua ila wanapora mali za Tanganyika na kuifanya Zanzibar kama Dubai wskiijenga mchana na usiku, kwa kivuli cha Muungano.Wewe unayejiona una akili kubwa unaweza kuwa ndio mwenye akili ndogo.
Rwanda na Zanzibar zinapiga hatua zikiongozwa na marais wenye uhuru wa kufanya kile wanachoamua.
Hizi demokrasia za kutaka kila mtu asikike zimetuchelewesha sana.
Hayati JPM angewasikiliza wanaharakati asingeweza kufanya mengi makubwa.
Mmeingia mazima kwenye akili za kichochezi. Zanzibar wamekubaliana na diplomasia ya uchumi wa kisasa.Zanzibar haipigi hatua ila wanapora mali za Tanganyika na kuifanya Zanzibar kama Dubai wskiijenga mchana na usiku, kwa kivuli cha Muungano.
Ni majambazi kama majambazi mengine tu.
Ila wao kwao huchukui chochote cha maana, sio pesa kibiashara au bidhaa.
Kumbuka yule mama aliyepeleka ndizi kuuza kutoka bara , akaporwa na ndizi zake kuharibiwa.
Nasema tena kwa msisitizo na uhakika.Mmeingia mazima kwenye akili za kichochezi. Zanzibar wamekubaliana na diplomasia ya uchumi wa kisasa.
Wameondoa urasimu wote uliokuwepo kwenye uwekezaji, urahisi wa mtu au taasisi kuwekeza umeipaisha kiuchumi Zanzibar.
Kufikika na kutokeka kwa mahali fulani huwezesha sana uwekezaji kufanyika, kiwanja cha ndege cha kisasa kinaipaisha Zanzibar.
Pia mechi kadhaa za kimataifa zinapochezwa Amaan au zitakazochezwa kule Pemba moja kwa moja zinasaidia kwenye utalii kuweza kukuzwa, shabiki wa Morocco aliyekuja kuitazama mechi ya Simba vs Berkane mwaka jana ni rahisi kurudi tena visiwani humo kutembea na familia yake.
Walichokifanya Zenji kimekuwa kile kile kilichofanywa na Mauritius kwenye kujenga urahisi wa visiwa kuwa karibu na wadau wa utalii duniani.
Hiyo kesi ya mama kuporwa ndizi haina uhusiano wowote na ukuaji wa uchumi wa visiwa vya Unguja na Pemba.
Hata huku bara zipo kesi chache za mapolisi kuwaonea wazenji. Sawa na kesi ya wamasai kupiga raia kule Unguja.
Huna lolote zaidi ya chuki na ubaguzi ambao umekujaa kichwani mwako.Nasema tena kwa msisitizo na uhakika.
Zanzibar haipigi hatua kimaendeleo ila wanapora mali za Tanganyika kwa mgongo wa Muungano.
Ile asilimia 4% ya mgao wa pesa za muungano ni kiini macho tu.
Ila mambo haya huwa ni ya muda tu. Miaka minne iliyobaki sio mbali. Watanganyika wanateseka kwa sasa but wanajifunza kutorudia makosa.
Fikiria ajira ni 50% kati ya watu milioni 1.5 na watu milioni 63.5 wananyang'anyana sawa kwa sawa.
Nasema ninachokiona kwa macho yangu, na sio mimi mwenyewe ninayejua ukweli huo. Kwa bahati mbaya vyombo vya kimamlaka navyo vimegeuka kuwa sehemu ya kulinda uhalifu huo. Huku mitandaoni ni sehemu salama ya kusema ukweli kwa sababu ya fake id. Polepole alisema ukweli huo hadharani, kwakuwa anafahamika hadi leo hayuko duniani.Wa kujinyonga ni wewe, unayedanganywa na hizi habari za mitandaoni. Umma mkubwa sana ulimpigia kura SSH.
Ukitaka kujua ww ni kilaza wa kiwango gani, katazame bajet ya Zanzibar ni shilingi na makusanyo yao ya utalii na nchi nzima ni kiasi gani, kisha uje uendelee kutema pumba hapa.Huna lolote zaidi ya chuki na ubaguzi ambao umekujaa kichwani mwako.
Hivi unajua kwamba kisiwa kinaweza kujiendesha kwa pesa ya utalii peke yake?.
Seychelles, Mauritius, Cape Verde, Zanzibar vyote hivyo visiwa vinajiendesha kwa utalii pekee.
Umejengwa uwanja wa kisasa wa ndege, hawategemei tena mtalii atue Dar kisha aende Unguja, anatoka kwao anakwenda moja kwa moja kule.
Punguza chuki na roho mbaya.
Mwenye roho mbaya na chuki anajulikana tu.Huna lolote zaidi ya chuki na ubaguzi ambao umekujaa kichwani mwako.
Hivi unajua kwamba kisiwa kinaweza kujiendesha kwa pesa ya utalii peke yake?.
Seychelles, Mauritius, Cape Verde, Zanzibar vyote hivyo visiwa vinajiendesha kwa utalii pekee.
Umejengwa uwanja wa kisasa wa ndege, hawategemei tena mtalii atue Dar kisha aende Unguja, anatoka kwao anakwenda moja kwa moja kule.
Punguza chuki na roho mbaya.
Mkuu Zanzibar wanaweka mazingira ya kufaidika na utalii, kilaza ni wewe usiyeiona tofauti ya Bara na Zanzibar kwa kutazama maeneo ya kijiografia.Ukitaka kujua ww ni kilaza wa kiwango gani, katazame bajet ya Zanzibar ni shilingi na makusanyo yao ya utalii na nchi nzima ni kiasi gani, kisha uje uendelee kutema pumba hapa.
Kuza uelewa wako kwenye masuala mengi haswa ya kiuchumi ili uje kufahamu kwamba sisi Tanganyika tunafaidika na huu muungano kuliko wao Wazenji.Mwenye roho mbaya na chuki anajulikana tu.
Ninyi mbebe kila kitu toka Tanganyika kuanzia pesa, bidhaa, umeme bure, hadi ardhi yao wakati kwenu hapaguswi, halafu unabadilisha kibao.
Utetezi wako hauna mashiko mkuu, tafuta hadithi nyingine.
Nyerere alikosea sana kwenye hoja ya Muungano.
Narudia tena, ww ni kilaza full, ni wapi nimefananisha Tanganyika na Zanzibar? Nimekuambia katazame bajet ya Zanzibar uone kama mapato yake ya utalii na mengineyo yanajitosheleza. Rudia kusoma nlichoandika badala ya kulazimisha kujibu kichawa.Mkuu Zanzibar wanaweka mazingira ya kufaidika na utalii, kilaza ni wewe usiyeiona tofauti ya Bara na Zanzibar kwa kutazama maeneo ya kijiografia.
Zanzibar wanautumia vyema sana uchumi wa buluu, wamekifungua kile kisiwa, wameondoa ukiritimba wa kodi nyingi ambazo zimekuwa zikikwamisha ufanyaji wa biashara.
Hakuna uwezekano bajeti ya Zanzibar ikalingana na ya Bara kwa ujumla wake. Zikichezwa mechi za michuano ya afcon mapema mwakani kule Fumba Pemba umaarufu wa visiwa vile utaongezeka.