GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwanao GENTAMYCINE nakuomba kimya kimya agiza watu wako (hasa wa system) wafuatilie, nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utaletewa taarifa za ajabu na za kusikitisha kuliko hata aliyoyafanya huyo Mhubiri mmoja mpumbavu, muhuni, mwendawazimu na gaidi wa Kenya.
Kuna mmoja anawaambia mabinti wapakae maparachichi sehemu za siri ili wanaume wawagande, na cha kushangaza kila wakifanya hivyo ndiyo wanakimbiwa kabisa na hao wanaume.
Natamani niyaseme mengi hapa Mheshimiwa Rais Samia ila kwakuwa una vyombo vyako naomba watume na watakuja na mengi hadi utashangaa na kusikitika.
Waanzie Kawe, Mwenge, Ubongo, Mbezi Beach, Sala Sala, Kimara, Mbagala, Arusha, Mbeya na Kilimanjaro utanielewa nilichokisema hapa.