Rais Samia: Tanzania tutakuja kwa nguvu yote Kenya kuwekeza

GDP inakuwa calculated vipi? Kuna reflection kati ya GDP na economic welfare of general population au reflection yake inakuwa based na data ambazo zinatumika ku calculate hiyo GDP?
Inakuwa calculated na calculator.
 
Nyani ngabu, vipo vingi sana tunavyoweza kuwekeza Kenya, tunao wafanyabiashara wakubwa kuliko walioko Kenya.
Mama amesema tumewekeza kupitia wafanyabiashara 19bil Ksh na Kenya imewekeza 1.7bil Usd nani ana nguvu kwa mwenzake?
 
Tuulizane kwa makini sana! Rais wetu amezoea kushangiliwa au anaona makofi na kelele ktk majukwa huwa ni za kweli? Kenya ni nchi inayohitaji ubabe ktk kushirikiana nayo. Utawekeza nini kama hawataki majirani zao kuwekeza kwao? Rais wetu ajiulize ni kwa nini ilikuwa vigumu kwa CRDB bank kuwekeza Kenya kuliko KCB kuwekeza TZ. Hawa jamaa ukabila uko kila sekta! Tusidanganyane na kuambiwa ni majirani. Na, Rais asituponze kwa furaha ya majukwaani.
 
Kenya hakuna fulsa yoyote kwa mtanzania fulsa zipo hapa hapa tz ila soko liko popote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…