Rais Samia: Tanzania tutakuja kwa nguvu yote Kenya kuwekeza

Rais Samia: Tanzania tutakuja kwa nguvu yote Kenya kuwekeza

Tanzania tuna nini cha kuwekeza Kenya?
Kama kuna makampuni 30 yapo yana operate, it means na yanaweza ongezeka hadi 60 au 90.

Angalao tumepata Rais SSH anayesema tukawekeze Kenya ili kulipa kisasi, kuliko kuliko aliyekuwa analipa kisasi kwa uwekezaji wa Kenya kwetu kwa kufunga na kuharibu biashara za Kenya.

"It always seems impossible until it is done"- Nelson Mandela
 
Hao wafanyabiashara wakubwa sana wa Kitanzania sasa hivi hawajawekeza huko Kenya na sasa Samia ndo atawapeleka wakawekeze?
Ken,ge nyinyi, kaufufueni mzoga wenu muuwabudu, naona bado hamumkubari mama wasukuma
 
Kama kuna makampuni 30 yapo yana operate, it means na yanaweza ongezeka hadi 60 au 90.

Angalao tumepata Rais SSH anayesema tukawekeze Kenya ili kulipa kisasi, kuliko kuliko aliyekuwa analipa kisasi kwa uwekezaji wa Kenya kwetu kwa kufunga na kuharibu biashara za Kenya.

"It always seems impossible until it is done"- Nelson Mandela
Mwendazake alikuwa kichaa kabisa mwenye roho chafu
 
..nadhani kuna chama cha upinzani kitazaliwa out of ccm na watu wenye chuki na mama samia suluhu hassan.
Hujajibu swali!

Wewe umesema kuna watu wana chuki na Samia.

Nami ndo nikakuuliza ni akina nani hao?

Na nikakuomba na mifano/ ushahidi wa hizo chuki.
 
Tanzania tuna nini cha kuwekeza Kenya?
fursa kenya ziko kibao kwa watanzania mojawapo ni kuoza wanawake wa Tanzania kwa wakikuyu na wakamba
Wanaume wakikuyu na wakamba wanawapenda sana wanawake wa Tanzania wanasema wanawake wa makaila yao wajeuri sana kwa wanaume zao na huwa hadi wanawapiga
 
Hao wafanyabiashara wakubwa sana wa Kitanzania sasa hivi hawajawekeza huko Kenya na sasa Samia ndo atawapeleka wakawekeze?
wako kibao wamewekeza mbona

Rostam Aziz yuko kule pia Bakheresa yuko kule na Scandinavia yuko kule wengi wanadhani Scandinavia alikufa na mabasi yake Tanzania wala yuko Kenya

CRDB bank iko Kenya nk
 
Hujajibu swali!

Wewe umesema kuna watu wana chuki na Samia.

Nami ndo nikakuuliza ni akina nani hao?

Na nikakuomba na mifano/ ushahidi wa hizo chuki.

..kuna watu hawapendi rais samia anavyozungumza.

..wengine hawapendi macho yake yalivyo.

..wako kundi moja na wasiopenda anavyovaa hijab.
 
Tuulizane kwa makini sana! Rais wetu amezoea kushangiliwa au anaona makofi na kelele ktk majukwa huwa ni za kweli? Kenya ni nchi inayohitaji ubabe ktk kushirikiana nayo. Utawekeza nini kama hawataki majirani zao kuwekeza kwao? Rais wetu ajiulize ni kwa nini ilikuwa vigumu kwa CRDB bank kuwekeza Kenya kuliko KCB kuwekeza TZ. Hawa jamaa ukabila uko kila sekta! Tusidanganyane na kuambiwa ni majirani. Na, Rais asituponze kwa furaha ya majukwaani.
Kwenye Biashara Jamaa hawana Ukabila acha uongo, Wakikuyu wanafanya Baishara na Wajaluo, Ukabila sana kule unachagizwa na wanasiasa
 
wako kibao wamewekeza mbona

Rostam Aziz yuko kule pia Bakheresa yuko kule na Scandinavia yuko kule wengi wanadhani Scandinavia alikufa na mabasi yake Tanzania wala yuko Kenya

CRDB bank iko Kenya nk
CRDB iko Kenya wapi? Acha upimbi wewe
 
..kuna watu hawapendi rais samia anavyozungumza.

..wengine hawapendi macho yake yalivyo.

..wako kundi moja na wasiopenda anavyovaa hijab.
Akina nani hao? Mbona hutoi mifano?

Au unatunga tu?
 
..situngi.

..lakini kuna watu wana CHUKI sana na mama wa watu.

..na kwa bahati mbaya inaelekea na wana-ccm.
Akina nani hao watu? Kama huwezi kuwataja na kusema walichokisema dhidi yake, basi utakuwa unatunga tu!
 
Kwenye Biashara Jamaa hawana Ukabila acha uongo, Wakikuyu wanafanya Baishara na Wajaluo, Ukabila sana kule unachagizwa na wanasiasa
Kama hujawahi ishi Kenya, usitoe maoni ya kizembe kiasi hiki. Watu wanaokzuia magari ya TZ kupeleka watalii Kenya wewe unasema bhla! bhla!
Tunaijua Kenya. Unadhani mauaji yalitokea kwa sababu ya siasa tu! Kuna mengi yaliyojificha ambayo hawayasemi hadharani.
 
Viwanda vya unga, viwanda vya juice, viwanda vya mchele viwanda viwanda viwanda maana tuna maligafi za kutosha
Hawa jamaa ni wagumu sana kitabia. Hata viwanda vya kusaga mahindi hawataki vimilikiwe na wa-TZ. Lazima M-Tz uwauzie mahindi, wao wasage na kuuza. Ukisaga, hawanunui.
 
Back
Top Bottom