Rais Samia: Tanzania tutakuja kwa nguvu yote Kenya kuwekeza

Kweli aisee nilikuwa najiuliza 'yale maBrookside yana cocaine nini maana yako tofauti aisee' ,ila kuhusu ubaguzi (uzalendo) wao naona bado ni wa kuwapuuza na kupambana nao tu na kutokuwadekeza. Wakituzingua tunawazingua. Kwa mtazamo wangu, tunaeleka au tumeshafika mahali ambapo wao wanatuhitaji sisi kuliko tunavyowahitaji wao. Tukijitambua wala hawatukwazi.
 
Twende tukawekeze Kenya Mkuu.
Kule fursa Kibao.
Sawa Mkuu
Majirani wana roho za kukatisha maisha ya watu fasta
Mtakaojaribu kwenda huko muwe waangalifu muishi karibu karibu msijichanganye kivililee
Majirani wana madharau pia
Kila la Heri ' Msafiri Kafiri.....uende ukitizama mbele na nyuma.......iko siku Mungu atakusaidia' zilipendwa zina mafundisho makuu
 
Nimekaa Kenya na nimesoma UoN, Wakenya ni wabaguzi sana bora Waganda.Wakenya wanatudharau sana Watz, kauli ya Kenyatta leo imejaa unafiki na uongo wa hali ya juu.Wakenya ni watu wa ovyo mno mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…