Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

Nani kakataa kwamba hao siyo part ya tatizo?? Ishu inakuja inapoonekana matatizo yootee ya Umeme TZ since independence yameletwa na hao watu 2, na wengine kuanza kushinikiza sijui waziri atumbuliwe na upuuzi kama huo...
 
Ma-ka-mber anathibitisha kuwa mtoto wa nyoka sio nyoka
 
Hapo ni Mmoja tu ambae ni namba moja kwa namba moja
 
You guys have a weak defense , mara zote mnapoambiwa ukweli mnakimbilia kusema kuwa mnachukiwa!! Hata kama mnachukiwa lazima kutakuwa na sababu za msingi za kuchukiwa kwenu!!
 
Januari ana dosati gani?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Makamba jr hajawahi fanikiwa lolote lile, sana kujipamba mtandaoni
Sukuma gang mlituumiza sana kipindi cha utekaji na upigaji risasi. Five years ya mateso mungu katukomboa.

Corona imetuondolea ujeuri
 
Hawa watu wawe serious kwebye vetting, pepo wataishia kuisikia tu.
Labda kama wamechagu kutojihusisha na mambo hayo.
.
Mmoja akiwa corrupt basi wengine wanusuru
Darasani kwako ulipokuwa unasoma, kuna watu walikuwa wakikosea ni vigumu sana walimu kuwaadhibu, ni kwa sababu walikuwa na weledi kitaaluma.
 
Ni wivu tu, hamna lolote.

Huyo Makamba hiyo nafasi ana muda gani tangu ateuliwe. Yani muda huo mfupi ndio atatue matatizo tuliyojitengenezea miaka kibao?
Wee babu acha kumtetea huyu makatani, huoni ubovu wake? Kwahiyo muda mfupi huu alioharibu wamuache ili iweje baadae?

Atoke bhana, huyu mpiga dili tu, sijui why aliteuliwa au yupo kimkakati,

Watz tumeshachoka na blah blah zao,
 
Hivi uzalishaji wa umeme kwa maji ni asilimia ngapi na uzalishaji wa umeme kwa gesi ni asilimia ngapi vile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo unayesema hajawahi kufankiwa lolote aliingia 5 bora urais 2015, amekuwa waziri chini ya marais wa3 tofauti na anaenda kuwa rais wako 2030.
Jamaa walivyoingia madarakani wakaharibu kila kitu. Kwasasa watu waliokuwa wanafanyakazi kwa mzuka kwishine. Hadi kabudi hasikiki utafikiri nae kafa na kuzikwa huko chato
 
You guys have a weak defense , mara zote mnapoambiwa ukweli mnakimbilia kusema kuwa mnachukiwa!! Hata kama mnachukiwa lazima kutakuwa na sababu za msingi za kuchukiwa kwenu!!
Kuna matatizo ma2, Maji na Umeme, sijaona mahali Aweso hata anazungumziwa!!!!!!! Lakini kila dakika 2 zinaanzishwa threads January, January!! Kama siyo chuki ni nini? Huu ujinga wa kumtafuta mtu wa kumsakama serikalini ulianza awamu ya 4!! Awamu ya 4 alikuwa Ridhiwan, awamu ya 5 Makonda, awamu hii mlikuwa hamjui muanzie wapi, mlianza kwa JK mkaona hampati kiki za kutosha, Mkaenda kwa Mwigulu mkaona hampati kiki pia, mkahamia kwa Mchengerwa kiki bado zikakosekana!!! Naona sasa mmempata mtu perfect wa kumshambulia ili kuuza vigazeti vyenu uchwara na kutafuta wafuasi Mitandaoni! Mnasema January Mwizi, kaiba nini? Au ndiyo mnaendeleza ule upuuzi wenu mliomfanyia Lowassa and mwisho wa siku mkarudi kumpigia magoti (Both wapinzani na chama tawala)??
 
Wachumia tumbo + waganga njaa = siasa uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…