Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

Kwani washamba wako bado wapo madarakani?

Si chama kimerudi kwenye mikono salama?
Mazwazwa ndo yametufikisha hapa. Mnawaonea tu kina January Makamba wanaporekebisha makosa ya mazwazwa
 
Hovyo sana
 
Hii ndiyo inasababisha mnaotoa hoja bila ushahidi wa kutosha kuonekana ni wafitinishi. Mimi siamini kama wewe unaagukia kwenye kundi hilo.
Kama ambavyo sikuamini wewe unaweza usiyajue mamatizo yaliyotufikisha hapa...
 
we ni mpuuzi ulietukuka toka ccm(chama cha mazuzu)
 
Punguza peleche
Waziri Makamba amerithi bomu na sasa anapambana kupunguza madhara
 
Matatizo ya umeme ni ya muda mrefu..... kumtoa Waziri aliyekaa kwa miezi 3 ni uonevu tu. Apewa at least miaka 3 tuone mipango yake.
 
Tatizo ni management ya kitaalamu (Tanesco) au tatizo ni management ya kisiasa (Waziri)!!??
 

Wananchi wanataka umeme ili shuhuri zao za kila siku ziendelee na watoto waweze kwenda maliwatoni!! Maji ni muhimu lakini hata yakikatika mara yakitoka Watu wanahifahi kwenye matanki na maisha yanaendelea licha ya kutegemea visima pia!!

Umeme ukikatikatika option ni kwa wale wenye magenerator na wengine wenye solar panels ndio watapata umeme!! Hapo ndio wanapomshuku huyo January kuwa ana ubia na hawa wauza magenerator ndio maana anatuletea sababu za hovyo hovyo za umeme kukatika!! Kumbuka kuwa huyu January haaminiki partly kwasababu ya ukaribu wake na Vasco Dagama na anajua jinsi walivyotupiga enzi zao na HOME SHOPPING CENTRE!!
 
Hakukua na matatizo kipind anapokea wizara.. Tangu ameingia tu ndo maji yamepungua, ndo service ya mitambo, ndo mazingira yameharibika...!!
Inaonekana ana gundu sasa
 
Labda wewe ndiyo humuamini!! And January hajawahi kujihusisha na hizo business unazosema pia!! Huyo mnayemuita Vasco da Gama sijawahi kuona ubaya wake wa kustahili chuki kubwa namna hii hadi kuwachukia watu wake wa karibu pia! Acha chuki Chief, hazisaidii
 
Hata kama wewe ni sukuma gang ila kwa hili umeandika ukweerrriii.

Au naongopa ndugu zangu?
 
Ni wivu tu, hamna lolote.

Huyo Makamba hiyo nafasi ana muda gani tangu ateuliwe. Yani muda huo mfupi ndio atatue matatizo tuliyojitengenezea miaka kibao?
Hata mimi nashangaa wanavyompigia debe la kuwa ahamishwe hata miezi sita haijafika.

Lazima kuna team fulani hivi inapiga majungu kila siku kwenye mtandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…