Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374


“Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule.

“Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani tutakapofika 2025 kama hatujafika tutakuwa tunakaribia, kwa sababu tunatarajia mwaka ujao tutakwenda kukua kwenye asilimia 5 na pointi, miaka miwili inayokuja tutakwenda kufika kwenye 6.8 tuliyokuwa kabla,” Rais Samia Suluhu Hassan.

Amesema hayo leo Aprili 5, Dodoma katika Mkutano wa Kitaifa wa Maridhiano, Haki na Amani ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
 
Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea

Hizi ni kweli mmesahau hili? Ama ni kushabikia mungu-mtu wenu kama timu ya mpira? Wanyonge, buana.... mwendazake kama aliwavutisha madawa fulani. Yaani hamwelewi kitu kabisa!?

Tanzania president blocks critical IMF report on economy

Joseph Cotterill in Johannesburg

April 18 2019

Fund warns over 'unpredictable and interventionist policies' under Magufuli

1649180740019.png



More information can be found here.
Subscribe to read | Financial Times

Tanzania was criticised by the International Monetary Fund for unpredictable economic policies and unreliable statistics in a report that President John Magufuli’s government blocked from publication this week. The unreleased report, seen by the Financial Times, warned of “unpredictable and interventionist policies that worsen the investment climate and could lead to meagre [or even negative] growth” in east Africa’s second-largest economy. The criticism appears to have earned the wrath of Mr Magufuli, who has been called “The Bulldozer” over his abrasive and erratic style, including attacks on foreign investors. The IMF said on Wednesday that the Tanzanian authorities had not consented to publication of the report, produced as part of the fund’s “Article IV” annual check-ups on countries’ economic health. Governments have a right to block publication but the reports are usually routine affairs and are almost always made public. Tanzania’s refusal to release the report has alarmed international investors, who already fear the government is hiding the true state of the economy. Tanzania has criminalised the release of statistics that vary from the official version, in a law that the World Bank has called deeply concerning. The IMF report said there were “serious weaknesses” in official Tanzanian statistics that point to gross domestic product growth of 7 per cent. The report said that “urgent steps are required to improve the national accounts” and urged Mr Magufuli’s government “to ensure an open and independent statistics agency”. Recommended African politics Tanzania opposition leader blames president after shooting According to IMF estimates released earlier this month, the economy will grow 4 per cent this year. Since his election in 2015 Mr Magufuli has launched a crusade against corruption but also clashed repeatedly with business. His government has pushed to renegotiate and limit foreign investment in sectors such as mining. The policy has “clouded the investment climate”, the IMF said. Mr Magufuli last year rocked international commodity markets when he ordered the army to buy the country’s entire crop of cashews after a stand-off over prices. Tanzania is a big producer of the nut. In 2017, Mr Magufuli targeted London-listed Acacia Mining, a gold producer, with demands for $190bn in tax penalties. Acacia eventually paid $300m and agreed to reconsider its business model in the country as goodwill gestures to end the dispute. The IMF report also pointed to a slowdown in investment activity since Mr Magufuli came to power. Foreign investment fell to 2 per cent of GDP in 2017 from roughly 5 per cent in 2014, according to World Bank data. The IMF said: “The Fund does not comment on leaked reports.”

Source: Subscribe to read | Financial Times.
 
Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
Vijitu vingine bwana km kichwa cha panzi. Kwani aliyesema kipato cha kati ni nani? Kupandishwa au kushushwa hizo grade ni za world bank, na si Rais fulan anajisemea. It means kwamba tumeshuka kiuchumi ndio maana wao wenyewe walitupa sasa hivi wametushusha kulingana na vigezo walivyotumia wakati huo
 
Ulidanganywa kuwa uchumi wako umekuwa na yule kichaa. Na wewe kwa akili yako, ukapiga makofi.. pwa, pwa, pwa... wakati ukweli ni kuwa kipato chako bado kiko pale pale.

Unafikiri World Bank wanatoa wapi takwimu zao. Wanatumia takwimu zinazotoka hapa hapa Tanzania. Takwimu hazitoki makao makuu ya World Bank Marekani.

Yule kichaa IMF walimwambia kuwa takwimu zake ni feki. Akakasirika na kuwazuia IMF kuchapisha takwimu zao zilizoonyesha kuwa uchumi unakuwa kwa kiwango kidogo.
Vijitu vingine bwana km kichwa cha panzi. Kwani aliyesema kipato cha kati ni nani? Kupandishwa au kushushwa hizo grade ni za world bank, na si Rais fulan anajisemea. It means kwamba tumeshuka kiuchumi ndio maana wao wenyewe walitupa sasa hivi wametushusha kulingana na vigezo walivyotumia wakati huo
 
Back
Top Bottom