Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Ngoja nijaribu kukuondolea ujinga. Mashirika ya kimataifa - WB, IMF, WHO, ILO, FAO, nk hutumia takwimu zinazopatikana katika nchi ili ku-grade nchi. Kama utatoa takwimu za uongo, grading yao pia itakuwa ya uongo. Magufuli aliambiwa na IMF kuwa uchumi unakuwa kwa 4.5%, akatakaa, kichaa kikampanda, akagombana na IMF huku akisema uchumi wetu unakuwa kwa 7%. Ingetumika 4.5% nani angesema uko uchumi wa kati? Jielimishe. Usiishie kuwa mpiga kura wa CCM tu. Usitumike.

victor solomon - siyo vibaya na wewe ukijielimisha. Nimesoma ulichoandika.
Kwahiyo JPM ndiye alidanganya kuwa tumepanda uchumi wa kati?
 
Ngoja nijaribu kukuondolea ujinga. Mashirika ya kimataifa - WB, IMF, WHO, ILO, FAO, nk hutumia takwimu zinazopatikana katika nchi ili ku-grade nchi. Kama utatoa takwimu za uongo, grading yao pia itakuwa ya uongo. Magufuli aliambiwa na IMF kuwa uchumi unakuwa kwa 4.5%, akatakaa, kichaa kikampanda, akagombana na IMF huku akisema uchumi wetu unakuwa kwa 7%. Ingetumika 4.5% nani angesema uko uchumi wa kati? Jielimishe. Usiishie kuwa mpiga kura wa CCM tu. Usitumike.
Kwa maana hiyo IMF ndio wajinga!
 
Sasa tutakuwa na uhakika gani kama hivi sasa takwimu zilizotolewa na selikali ni za kweli?
we jamaa wacha uonho😄
 
Watawala wa kiafrica wakisifiwa huwa wanaharibika
 
Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka?
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Ukiwa mjinga kabisa wa masuala ya uchumi, utasema Magufuli alituingiza uchumi wa kati. Ukiwa na akili, japo kidogo sana, utafahamu wazi kuwa safari iliyoanzishwa na Mkapa ya kuufikia uchumi wa kati, Magufuli aliififisha.

Mkapa aliongeza Per Capita Income ya Mtanzania kwa dola 400 katika kipindi cha miaka 10. Kikwete dola 380. Magufuli dola 80.
 
Back
Top Bottom