Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshafura!Minga tu wewe. Chuki zako zimezaa ujinga mbaya sana.
Wewe ni mbwiga.
Taasisi kama IMF haiwezi kuidanganya dunia ili kumfurahisha Magufuli.
Wawekezaji wa level ya dunia wanatumia data za IMF na WB.
Ututusa wako wapelekee Bavicha wenzio!
Ndiyo uozo tupuTuliwakanya watz awasikii.watawala wa kiafrica ukiwasifia unaharibu
Sula la JPM ni suala la muda tu kupendwa/kuchukia ni kitu cha kawaida kwa mwanadamu ila kuogopwa ni lazima kwa kiongozi.Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka?
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Hahahaaaa......... Mchana mwema bwashee!Mkereketwa/chawa/kiroboto unajaribu kubishana na IMF. Kazi kweli kweli. Okay nakutakia kila la heri🤣
Waliotuweka ni WB na waliotuondoa ni WB. Raisi Hana mamlaka ya kuwaamrisha WBUongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
😍View attachment 2176513
“Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule.
“Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani tutakapofika 2025 kama hatujafika tutakuwa tunakaribia, kwa sababu tunatarajia mwaka ujao tutakwenda kukua kwenye asilimia 5 na pointi, miaka miwili inayokuja tutakwenda kufika kwenye 6.8 tuliyokuwa kabla,” Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema hayo leo Aprili 5, Dodoma katika Mkutano wa Kitaifa wa Maridhiano, Haki na Amani ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Kwani kichaa wako ulitaka ukuletee hela nyumbani kwako wakati unakaa tu kwa shemeji alokoolewa dadako?Kwani tuliwahi kufika huko? Kipato chako kilibadilika wakati yule kichaa anatangaza kuingia uchumi wa kati?
Sio yeye aliyetangaza Bali ni WB, unataka kusema WB waliotuweka kwa upendeleo?Kwani tuliwahi kufika huko? Kipato chako kilibadilika wakati yule kichaa anatangaza kuingia uchumi wa kati?
Acha uongo. Toa ushahidi wa utafitiNgoja nijaribu kukuondolea ujinga. Mashirika ya kimataifa - WB, IMF, WHO, ILO, FAO, nk hutumia takwimu zinazopatikana katika nchi ili ku-grade nchi. Kama utatoa takwimu za uongo, grading yao pia itakuwa ya uongo. Magufuli aliambiwa na IMF kuwa uchumi unakuwa kwa 4.5%, akatakaa, kichaa kikampanda, akagombana na IMF huku akisema uchumi wetu unakuwa kwa 7%. Ingetumika 4.5% nani angesema uko uchumi wa kati? Jielimishe. Usiishie kuwa mpiga kura wa CCM tu. Usitumike.
victor solomon - siyo vibaya na wewe ukijielimisha. Nimesoma ulichoandika.
Wote sisi ni watanzania, wote tunademka mdundo mmoja. Tunajenga nyumba mmoja/ ni suala la muda tu tutakuwa kitu kimoja.Ulidanganywa kuwa uchumi wako umekuwa na yule kichaa. Na wewe kwa akili yako, ukapiga makofi.. pwa, pwa, pwa... wakati ukweli ni kuwa kipato chako bado kiko pale pale. Unafikiri World Bank wanatoa wapi takwimu zao. Wanatumia takwimu zinazotoka hapa hapa Tanzania. Takwimu hazitoki makao makuu ya World Bank Marekani. Yule kichaa IMF walimwambia kuwa takwimu zake ni feki. Akakasirika na kuwazuia IMF kuchapisha takwimu zao zilzoonyesha kuwa uchumi unakuwa kwa kiwango kidogo.
WB wakati wanatoa hizo data wewe ulikuwa bado uko kiuononi mwa babako ndio maana hujui nini kinajadiliwa hapaUlidanganywa kuwa uchumi wako umekuwa na yule kichaa. Na wewe kwa akili yako, ukapiga makofi.. pwa, pwa, pwa... wakati ukweli ni kuwa kipato chako bado kiko pale pale. Unafikiri World Bank wanatoa wapi takwimu zao. Wanatumia takwimu zinazotoka hapa hapa Tanzania. Takwimu hazitoki makao makuu ya World Bank Marekani. Yule kichaa IMF walimwambia kuwa takwimu zake ni feki. Akakasirika na kuwazuia IMF kuchapisha takwimu zao zilzoonyesha kuwa uchumi unakuwa kwa kiwango kidogo.