Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe wanaoangalia indicators za ukuaji wa uchumi ni wataalamu wabobezi wanaangalia kwa ushahidi wa data Sasa ukiwehu wako unauleta humu sijui utakusaidia nn nyambafu nyamafu
 
😄 tulifikishwa uchumi wa kati kwa uwezo wa Mungu…ila utarudishwa kwa uwezo wa mtu…si mchezo…

Wacha tujikumbushe tulipotangaziwa na waziri wa fedha kipindi kile kwa sasa ni makamu wa Raisi….na sababu alizozitoa kwanini tulifika uchumi wakati…tujue mbichi ipi na mbivu ipi

Kumbe tulishapokonywa daraja letu la uchumi wa kati.
Hatukuwahi hata kukaribia uchumi wa kati,ilikuwa kupika data.
Uchumi ni purchasing power,sasa sisi tulikuwa hatuwezi hata kununua Big G.
 
Sikujui ila kimtazamo wewe ni wale wenye vichwa vikubwa (vichwa maji) wanakuwa nusu dish nusu mzima pia na mdomo sungura unao.
 
You are delusional
 
Ebu ungesoma basi post ya huyo niliye m quote kwenye website ya World Bank inaonyesha bado lower middle; ina maana miezi sita yote awafanya update.

Ili ni tukio la hivi karibuni aliikuta nchi ukiwa uchumi wa kati.
 
sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe wanaoangalia indicators za ukuaji wa uchumi ni wataalamu wabobezi wanaangalia kwa ushahidi wa data Sasa ukiwehu wako unauleta humu sijui utakusaidia nn nyambafu nyamafu
Alikuwa anapika data yule punguwani
 
Haya mbona sasa kwenye website ya World Bank Tanzania bado ni middle income country.
 
Aisee.
Dunia hii tuangalie tunaoambatana nao kwakweli
 
Yaani hapa Maza kanishangaza. Nimesikiliza mara mbili mbili simuelewi. Yaani tumerudishwa kwa uwezo wa Mungu... Sasa tulipanda kwa uwezo wa nani?

Kama Mungu katushusha sasa tutapandaje wenyewe bila Mungu..!? Wazanzibar he u tusaidieni na hicho kiswahili chenu, tafadhari.
 
Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka..
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Uchumi magumashi wakati wote wa JPM. HUO NDIO UKWELI.
 
Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka..
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Ndio kuna shaka mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…