Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

🙌
Tanzania haikujitangaza kuingia uchumi wa kati. World Bank kwa kutumia vigezo vyao walitutangaza. Sasa kama World Bank wanaona tumeboronga kiuchumi wakatuondoa kwenye hiyo hadhi ni pathetic.
 
View attachment 2176513

“Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule.

“Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani tutakapofika 2025 kama hatujafika tutakuwa tunakaribia, kwa sababu tunatarajia mwaka ujao tutakwenda kukua kwenye asilimia 5 na pointi, miaka miwili inayokuja tutakwenda kufika kwenye 6.8 tuliyokuwa kabla,” Rais Samia Suluhu Hassan.

Amesema hayo leo Aprili 5, Dodoma katika Mkutano wa Kitaifa wa Maridhiano, Haki na Amani ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Kila kitu awamu hii ni uongo uongo tu. Waandishia ndo mawakala wa kupika Data za serikali
 
anaua reli ya tazara anawakumbatia wenye malori kina msoga anategemea uchumi urudi ulikokuwa? huyu mama tatizo kawekws hapo hayo anayoongea hayana uhalisia wowote ni porojo tu.
 
Vijitu vingine bwana km kichwa cha panzi. Kwani aliyesema kipato cha kati ni nani? Kupandishwa au kushushwa hizo grade ni za world bank, na si Rais fulan anajisemea. It means kwamba tumeshuka kiuchumi ndio maana wao wenyewe walitupa sasa hivi wametushusha kulingana na vigezo walivyotumia wakati huo

Achana naye huyo anajifanya mjuzi kumbe hana kitu.
 
Ukiwa mjinga kabisa wa masuala ya uchumi, utasema Magufuli alituingiza uchumi wa kati. Ukiwa na akili, japo kidogo sana, utafahamu wazi kuwa safari iliyoanzishwa na Mkapa ya kuufikia uchumi wa kati, Magufuli aliififisha.

Mkapa aliongeza Per Capita Income ya Mtanzania kwa dola 400 katika kipindi cha miaka 10. Kikwete dola 380. Magufuli dola 80.

Mama kaipandisha imefika wapi?

Halafu tupe reference na sie tukapitie
 
Watu wanalalamika kuwa tumetoka na imekuwa siri. Na wengi ni hao hao waliokuwa wanasema sio kweli hatumo humo. Very funny 😀
Kupanda tulifanya sherehe na Duni nzima ikajua. Kushuka hatukuambiwa mpaka leo halafu hawa semi ni lini... Unataka bado tuendelee kuamini huu uhuni... Over my dead body. Waseme tu uongo wote walioufanya huko nyuma. Walipika data. Period.
 
Ulidanganywa kuwa uchumi wako umekuwa na yule kichaa. Na wewe kwa akili yako, ukapiga makofi.. pwa, pwa, pwa... wakati ukweli ni kuwa kipato chako bado kiko pale pale.

Unafikiri World Bank wanatoa wapi takwimu zao. Wanatumia takwimu zinazotoka hapa hapa Tanzania. Takwimu hazitoki makao makuu ya World Bank Marekani.

Yule kichaa IMF walimwambia kuwa takwimu zake ni feki. Akakasirika na kuwazuia IMF kuchapisha takwimu zao zilzoonyesha kuwa uchumi unakuwa kwa kiwango kidogo.
Kwahiyo unadhani wewe na Mama nani ni mkweli sasa [emoji848]

Kitu gani ambacho Mama kashindwa kukieleza wazi kwa wananchi kilichokuwa sicho juu ya JPM hadi leo hii akubaliane na uchumi feki uliopangwa na JPM [emoji848]

Chuki hazijengi ndugu, umemchukia akiwa hai sababu ya kutumbuliwa jipu lako lenye harufu chafu, cheti feki na kuzibiwa mianya ya magendo na wala siyo suluhisho kimaisha kuendekeza chuki za kijinga kwa Marehemu asiyesikia, ongea wala kukujibu chochote zaidi ya kujitengenezea sonona tu [emoji57]
 
Mh.Rais SSH yuko sahihi....UCHUMI WA KATI TULIOKUWEKO umeporomoka kwa sababu ya JANGA LA UVIKO 19.........

Si serikali yenye kuweza kulaumiwa....

Wala si mh.Rais SSH mwenye kulaumika....

Corona
Corona
Corona

#Siempre JMT🙏

Wakati tunaingia uchumi wa kati July 2020 Uviko ulikuwepo , Uviko 19 ulikuja 2019 tuliingia uchumi wa kati July 2020..
 
🙌 Akili zenu ziko upande upande. Hata Kiswahili rahisi hiki inakuwa vigumu kueleweka!! Mama kasema kweli. Mwongo ni yule aliyepigwa na corona 17 March 2021.
Kwahiyo unadhani wewe na Mama nani ni mkweli sasa [emoji848]

Kitu gani ambacho Mama kashindwa kukieleza wazi kwa wananchi kilichokuwa sicho juu ya JPM hadi leo hii akubaliane na uchumi feki uliopangwa na JPM [emoji848]

Chuki hazijengi ndugu, umemchukia akiwa hai sababu ya kutumbuliwa jipu lako lenye harufu chafu, cheti feki na kuzibiwa mianya ya magendo na wala siyo suluhisho kimaisha kuendekeza chuki za kijinga kwa Marehemu asiyesikia, ongea wala kukujibu chochote zaidi ya kujitengenezea sonona tu [emoji57]
 
Sasa tutakuwa na uhakika gani kama hivi sasa takwimu zilizotolewa na selikali ni za kweli?
we jamaa wacha uonho[emoji1]
Lipumbavu sana hilo Jamaa kisa tu chuki zinazomtesa, eti takwimu za IMF zikielezea uhalisia wa uchumi wa kati kwa uchanya juu ya TZ ni za uwongo, lakini hao hao IMF wakitoa taarifa kuwa TZ imetoka uchumi wa kati ni za ukweli [emoji1]
 
View attachment 2176513

“Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule.

“Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani tutakapofika 2025 kama hatujafika tutakuwa tunakaribia, kwa sababu tunatarajia mwaka ujao tutakwenda kukua kwenye asilimia 5 na pointi, miaka miwili inayokuja tutakwenda kufika kwenye 6.8 tuliyokuwa kabla,” Rais Samia Suluhu Hassan.

Amesema hayo leo Aprili 5, Dodoma katika Mkutano wa Kitaifa wa Maridhiano, Haki na Amani ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Retired na brazaj mlikuwa mnasema ati hayo yalikuwa ni ya Magufuli!!! Mungu wenu sasa kasisitiza, je mnaona mlivyo wapuuzi?
 
Wewe ni mbwiga.

Taasisi kama IMF haiwezi kuidanganya dunia ili kumfurahisha Magufuli.

Wawekezaji wa level ya dunia wanatumia data za IMF na WB.

Ututusa wako wapelekee Bavicha wenzio!
Shangaa hata wewe eti kisa kumfurahisha JPM, kwani walikuwa wanamuogopa sana au JPM aliwaahidi kipi hasa kizuri hadi waamue kuiweka TZ katika uchumi wa kati kwa taarifa feki [emoji848][emoji847]
 
Back
Top Bottom