Omusolopagasi una akiri ndogo sana na hapa simaanishi za darasani, namaanisha una akiri ndogo za kuzaliwa.
Kama kweli wewe ni mtanzania wa maisha ya kati na kushuka chini utakuwa hujitambui kama hauwezi kuona tofauti ya kipato iliyopo leo mtaani kati ya JPM na huyu mfunga vilemba. Uswahilini sahivi kuna watu wanatamani hata kujinyonga kisa maisha kuwa magumu.
Hauwezi ukahujumu wazalishaji wa chini alafu ukauona uchumi wako ukikua, uchumi uliopo sahivi ni ule ule uliokuwepo enzi za JK wa kumilikiwa na watu wachache huku mass(common people) wakisota mtaani.
Magufuli alikuwa kichwa sana kuwahi kuongoza nchi, world bank wameleta shida na hawataki mama kuifungua nchi tena R.I.P JPM