The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Wala hawakudanganya ila ukweli ni kwamba mwaka 2020 uchumi ulikuwa taabani na ndio sababu za kuchukua mkopo wa covid 19..Wewe ni mbwiga.
Taasisi kama IMF haiwezi kuidanganya dunia ili kumfurahisha Magufuli.
Wawekezaji wa level ya dunia wanatumia data za IMF na WB.
Ututusa wako wapelekee Bavicha wenzio!
Ila nyie hamuwezi kujua kwa sababu sio wafuatiliaji ila wachumi wanafahamu kilichokuwa kinaendelea.