Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Na kibaya zaidi wameenda mbali na kumdanganya eti kama vipi aachane na miradi ya mwamba ili isionekane anambeba mwamba. Na ishu ya pili ni mizengwe ilimradi miradi ya JPM ichelewe kuisha wasijue kwamba kuendelea kuchelewa kuisha ni sawa na kukata tawi ulilolikalia. Ile miradi aliyoiacha yote ilitakiwa iwe imeisha hadi mwaka jana ukiondoa daraja la Busisi linalotakiwa kuisha 2024. Lakini Leo tunavyoongea reli bado haijaanza kutumika na imechelewa kama miezi 6 hivi, meli haijaisha ujenzi kule Mwanza na haijulikani iko wapi, umeme wa bwawa la Nyerere umechelewa kama miezi 3 hadi sahivi.
Hii miradi yote tayari inaanza kuleta loss hata kabla ya kuanza na suala hapa ni mda wa mikataba na return ya faida ya mradi kama ingekuwa imeanza, hizi hasara ndo shida na kama taifa tayari tunaenda kuanza kuitumia miradi hii tukiwa na net loss
Hongera mama kwa kuupiga mwingi