Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Omusolopagasi una akiri ndogo sana na hapa simaanishi za darasani, namaanisha una akiri ndogo za kuzaliwa.Ulidanganywa kuwa uchumi wako umekuwa na yule kichaa. Na wewe kwa akili yako, ukapiga makofi.. pwa, pwa, pwa... wakati ukweli ni kuwa kipato chako bado kiko pale pale. Unafikiri World Bank wanatoa wapi takwimu zao. Wanatumia takwimu zinazotoka hapa hapa Tanzania. Takwimu hazitoki makao makuu ya World Bank Marekani. Yule kichaa IMF walimwambia kuwa takwimu zake ni feki. Akakasirika na kuwazuia IMF kuchapisha takwimu zao zilzoonyesha kuwa uchumi unakuwa kwa kiwango kidogo.
Kama kweli wewe ni mtanzania wa maisha ya kati na kushuka chini utakuwa hujitambui kama hauwezi kuona tofauti ya kipato iliyopo leo mtaani kati ya JPM na huyu mfunga vilemba. Uswahilini sahivi kuna watu wanatamani hata kujinyonga kisa maisha kuwa magumu.
Hauwezi ukahujumu wazalishaji wa chini alafu ukauona uchumi wako ukikua, uchumi uliopo sahivi ni ule ule uliokuwepo enzi za JK wa kumilikiwa na watu wachache huku mass(common people) wakisota mtaani.
Magufuli alikuwa kichwa sana kuwahi kuongoza nchi, world bank wameleta shida na hawataki mama kuifungua nchi tena R.I.P JPM