Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
Ni hiyari yako kumchukia mtu ila si uungwana kumzushia uongo. Marehemu hawezi kujitetea!
Rais Magufuli hakusema uongo, ila ndio ukweli wenyewe. Jisomee mwenyewe na kama ni muungwana tuone vitendo!

"Following two decades of sustained growth, Tanzania reached an important milestone in July 2020, when it formally graduated from low-income country to lower-middle-income country status. Tanzania’s achievement reflects sustained macroeconomic stability that has supported growth, in addition to the country’s rich natural endowments and strategic geographic position"

Awamu hii kila kitu tunarudi nyuma.
Ni somo kwa viongozi walio hai, kuchagua mtu kwa sababu ya jisia yake upate ushindi mnono badala ya kuchagua IQ, elimu na uchapakazi wake. Mama sasa hivi anakandia kazi za JPM kana kwamba haikuwepo kwenye hiyo serikali. Sasa hivi ni mwendo wa msoga tu. JK sasa hivi ana press button tu.

IMG-20220405-WA0033.jpg
 
Rais Samia wakati akihutubi kwenye kongamano la vyama vya siasa TCD jijini Dodoma amesema Tanzania imeshaondolewa kwenye orodha ya nchi zenye hadhi ya uchumi wa kati na sasa anapambana ndani ya miaka miwili ijayo yani mpaka 2024 iwe imesharudishwa tena kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati.

Ikumbukwe mwaka 2019 bank ya dunia iliitangaza Tanzania kuwa imeingia kwenye orodha ya nchi zenye uchumi wa kati na uchumi wake ulikuwa unakuwa kwa kasi ya 7%

Haikuwa uchumi wa kati, bali uchumi wa chini wa kati. Ukiwa uchumi wa chini wa kati unakuwa karibu sana na uchumi wa chini. Tungekuwa wa kati isingekuwa rahisi kurudi wa chini.
 
Ni somo kwa viongozi walio hai, kuchagua mtu kwa sababu ya jisia yake upate ushindi mnono badala ya kuchagua IQ, elimu na uchapakazi wake. Mama sasa hivi anakandia kazi za JPM kana kwamba haikuwepo kwenye hiyo serikali. Sasa hivi ni mwendo wa msoga tu. JK sasa hivi ana press button tu.

View attachment 2176845
Ajitahidi kufanya mambo yake tu maana kumkandia Magufuli hakumfanyi yeye kuwa bora.

Na aangalie tu kwa maana spidi yake hairidhishi kwani katika miradi yote alichokikamilisha ni daraja tu kwa mwaka mzima aliokuwa madarakani.

Yaani unakaa ofisini mwaka mzima unajenga daraja moja tu.
 
Alipoingia magufuli raia walishindwa kulipa ada na hata wengine kusitisha mipango ya kuwapeleka shule za kulipia kwa sababu maisha yalikuwa magumu Hadi watu walikuwa wakitumia msemo VYUMA VIMEKAZA !

Vyuma vimekaza mianya ya pesa za bure maofisini ilipungua..
Mbonq sie tuliokua tumejiajiri hatukuumia ?!
Wote waloumia hawakua wanapta pesa za halali
 
Awamu hii kila kitu tunarudi nyuma.

Tulikuwa nyuma, ila propaganda ndio zilionyesha tuko mbele. Tofauti ya sasa na kabla ni kujitahidi kusema ukweli kwa kiwango cha kuridhisha.
 
Ukishajua nabishana mtu asiyekuwa saizi yangu huwa nafanya hivi: 🙌
Ni hiyari yako kumchukia mtu ila si uungwana kumzushia uongo. Marehemu hawezi kujitetea!
Rais Magufuli hakusema uongo, ila ndio ukweli wenyewe. Jisomee mwenyewe na kama ni muungwana tuone vitendo!

"Following two decades of sustained growth, Tanzania reached an important milestone in July 2020, when it formally graduated from low-income country to lower-middle-income country status. Tanzania’s achievement reflects sustained macroeconomic stability that has supported growth, in addition to the country’s rich natural endowments and strategic geographic position"

🙌
Kwa hiyo Rais anawaambia World Bank sasa tumefika uchumi wa Kati na wao wanatangaza kwamba Sasa Tanzania imefika uchumi wa Kati na Kesho Rais akiamka na kuwaambia World Bank kwamba nahisi Tanzania tumeshuka uchumi na wao wanatangaza kwa hiyo Hao watafiti wa World Bank wanafanya kazi gani wewe unafikili World Bank ni wapumbafu kama wewe pua pua pua
 
Ukishajua nabisha na mtu asiyekuwa saiziyangu huwa nafanya hivi: 🙌🙌
acha chuki za kipumbavu wewe. kwani alietangaza tumeingia uchumi wa kati ni yeye? au mashirika ya fedha duniani? sasa uongo wake unatokea wapi? kwahiyo kama ni waongo basi itakua ni Benki ya Dunia waliotutangaza tumeingia uchumi wa kati. Chuki isikufanye kuwa mpumbavu
 
Kama haukuelewa nichoeleza kwa kurudia rudia basi. Watu wengine hatuna kipaji cha ualimu 🙌
Hujielewi wewe kwani Tanzania kufika uchumi wa Kati alijisemea tu Rais au walisema World Bank jifunze kufuatia jambo kabla ya kuropoka .
 
Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
Una allergy ambayo ni kali . Yaani benki ya dunia pia aliiweka mfukoni waripoti anachotaka
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hii hali haiwezi kubadilika tena kwani hatuoni mapya zaidi ya wenye nafasi kuwa wafalme tena hadi chai ya saa nne imeanza upya.
 
Hakuna mambo ya uchumi wa kati wala wa juu jpm alikuwa mwongo sana .alipenda sifa za kijinga kama mtoto wa miaka 3 kipindi cha corona halafu uchumi wa kati ilisikia wapi
 
Kwa maana hiyo sisi ni maskini kwa sasa, na ile ndoto ya mkapa ya 2025 inaweza kutimia tena kweli?
 
Back
Top Bottom