KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
🙌 Yule mshamba kumbe alijipatia wafuasi wengi hivi!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙌 Yule mshamba kumbe alijipatia wafuasi wengi hivi!!!
sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe wanaoangalia indicators za ukuaji wa uchumi ni wataalamu wabobezi wanaangalia kwa ushahidi wa data Sasa ukiwehu wako unauleta humu sijui utakusaidia nn nyambafu nyamafuMarehemu Magufuli alikuwa dikteta aliyekuwa amekosa werevu.
Magufuli baada ya kuona mambo yanaenda mrama, alizuia hadi watafiti binafsi au taasisi binafsi kufanya utafiti na kutoa takwimu ili akiwadanganya wajinga, waweze kuamini na kusiwepo wa kuhoji.
sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe wanaoangalia indicators za ukuaji wa uchumi ni wataalamu wabobezi wanaangalia kwa ushahidi wa data Sasa ukiwehu wako unauleta humu sijui utakusaidia nn nyambafu nyamafuMagufuli alikuwa punguwani,hata yale magawio ulikuwa ni usanii tu.
View attachment 2176663
View attachment 2176513
“Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule.
“Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani tutakapofika 2025 kama hatujafika tutakuwa tunakaribia, kwa sababu tunatarajia mwaka ujao tutakwenda kukua kwenye asilimia 5 na pointi, miaka miwili inayokuja tutakwenda kufika kwenye 6.8 tuliyokuwa kabla,” Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema hayo leo Aprili 5, Dodoma katika Mkutano wa Kitaifa wa Maridhiano, Haki na Amani ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Hatukuwahi hata kukaribia uchumi wa kati,ilikuwa kupika data.Kumbe tulishapokonywa daraja letu la uchumi wa kati.
Sikujui ila kimtazamo wewe ni wale wenye vichwa vikubwa (vichwa maji) wanakuwa nusu dish nusu mzima pia na mdomo sungura unao.Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
Wale "wanyonge" mnaotetea mungu-mtu wenu, jisomeeni hapa. Kama hauna akili ya kusoma article nzima, soma mistari 2 nilipoigia msitari. Kama hauwezi ng'eng'e, tumia Google translate basi. Kama haiwezekani pia mtapokwenda Lumumba, mwombeni January awape tafsiri yake. - kababu Nigrastratatract victor solomon Interlacustrine R Interlacustrine E nao Full Blood Picture Omulasil tameer johnthebaptist Countrywide Crimea vamda Jumbe Brown kabila01 Ame Rweye Lu-ma-ga Watery cotyledon alubati stevhinoz Top leader magu2016 Loftins Lucas philipo Meela KIXI Meneja Wa Makampuni kipande Stefano Mtangoo
Hizi ni kweli mmesahau hili? Ama ni kushabikia mungu-mtu wenu kama timu ya mpira? Wanyonge, buana.... mwendazake kama aliwavutisha madawa fulani. Yaani hamwelewi kitu kabisa!?
Tanzania president blocks critical IMF report on economy
Joseph Cotterill in Johannesburg
April 18 2019
Fund warns over 'unpredictable and interventionist policies' under Magufuli
View attachment 2177072
More information can be found here.
Subscribe to read | Financial Times
Tanzania was criticised by the International Monetary Fund for unpredictable economic policies and unreliable statistics in a report that President John Magufuli’s government blocked from publication this week. The unreleased report, seen by the Financial Times, warned of “unpredictable and interventionist policies that worsen the investment climate and could lead to meagre [or even negative] growth” in east Africa’s second-largest economy. The criticism appears to have earned the wrath of Mr Magufuli, who has been called “The Bulldozer” over his abrasive and erratic style, including attacks on foreign investors. The IMF said on Wednesday that the Tanzanian authorities had not consented to publication of the report, produced as part of the fund’s “Article IV” annual check-ups on countries’ economic health. Governments have a right to block publication but the reports are usually routine affairs and are almost always made public. Tanzania’s refusal to release the report has alarmed international investors, who already fear the government is hiding the true state of the economy. Tanzania has criminalised the release of statistics that vary from the official version, in a law that the World Bank has called deeply concerning. The IMF report said there were “serious weaknesses” in official Tanzanian statistics that point to gross domestic product growth of 7 per cent. The report said that “urgent steps are required to improve the national accounts” and urged Mr Magufuli’s government “to ensure an open and independent statistics agency”. Recommended African politics Tanzania opposition leader blames president after shooting According to IMF estimates released earlier this month, the economy will grow 4 per cent this year. Since his election in 2015 Mr Magufuli has launched a crusade against corruption but also clashed repeatedly with business. His government has pushed to renegotiate and limit foreign investment in sectors such as mining. The policy has “clouded the investment climate”, the IMF said. Mr Magufuli last year rocked international commodity markets when he ordered the army to buy the country’s entire crop of cashews after a stand-off over prices. Tanzania is a big producer of the nut. In 2017, Mr Magufuli targeted London-listed Acacia Mining, a gold producer, with demands for $190bn in tax penalties. Acacia eventually paid $300m and agreed to reconsider its business model in the country as goodwill gestures to end the dispute. The IMF report also pointed to a slowdown in investment activity since Mr Magufuli came to power. Foreign investment fell to 2 per cent of GDP in 2017 from roughly 5 per cent in 2014, according to World Bank data. The IMF said: “The Fund does not comment on leaked reports.”
Source: Subscribe to read | Financial Times.
Sikujui ila kimtazamo wewe ni wale wenye vichwa vikubwa (vichwa maji) wanakuwa nusu dish nusu mzima pia na mdomo sungura unao.
Ulidanganywa kuwa uchumi wako umekuwa na yule kichaa. Na wewe kwa akili yako, ukapiga makofi.. pwa, pwa, pwa... wakati ukweli ni kuwa kipato chako bado kiko pale pale.
Unafikiri World Bank wanatoa wapi takwimu zao. Wanatumia takwimu zinazotoka hapa hapa Tanzania. Takwimu hazitoki makao makuu ya World Bank Marekani.
Yule kichaa IMF walimwambia kuwa takwimu zake ni feki. Akakasirika na kuwazuia IMF kuchapisha takwimu zao zilzoonyesha kuwa uchumi unakuwa kwa kiwango kidogo.
Ebu ungesoma basi post ya huyo niliye m quote kwenye website ya World Bank inaonyesha bado lower middle; ina maana miezi sita yote awafanya update.Ingekuwa hivyo unavyosema wewe, angesema “tumerudishwa” kuashiria kuwa ni recent past, pending updates. Lakini kusema tukarudishwa, ina maana ni kitambo, labda miezi sita huko kwenda mwaka. Kwasababu Rais mwenye jicho lake ni mpwani, basi anajua vizuri tofauti ya “tumerudishwa” na “tukarudishwa.” Nadhani mleta mada yupo sahihi, Rais anaongopa au anaongopewa na wasaidizi wake.
Mungu amlaze pema peponi, marehemu JPM. Amina.
Alikuwa anapika data yule punguwanisijawahi kuona mtu mjinga kama wewe wanaoangalia indicators za ukuaji wa uchumi ni wataalamu wabobezi wanaangalia kwa ushahidi wa data Sasa ukiwehu wako unauleta humu sijui utakusaidia nn nyambafu nyamafu
Kwamba ndio alitangaza kama tumeingia uchumi wa kati na siyo WB?Alikuwa anapika data yule punguwani
Kwahiyo WB walipika data?Hatukuwahi hata kukaribia uchumi wa kati,ilikuwa kupika data.
Uchumi ni purchasing power,sasa sisi tulikuwa hatuwezi hata kununua Big G.
Haya mbona sasa kwenye website ya World Bank Tanzania bado ni middle income country.Wewe ndiyo usome post yangu vizuri, dada Samia kasema “tukarudishwa” hajasema “tumerudishwa.” Hayo maneno yanaashiria muda, hayatumiki kiholela holela tu.
Vinginevyo, datas za wenye data zinaonyesha kuwa, Rais hayupo sahihi kutumia neno tukarudishwa. Siyo kweli, bado tupo uchumi wa kati. Vinginevyo, angesema tumerudishwa, tutarudishwa au angeacha tu kubwabwaja kwake hovyo na kusubiria wenye dunia waweke hizo updates.
Kasema ukweli tumeshushwa hivi karibuniKwahiyo Rais kasema kweli au kaongopa?
Kwa maana hiyo unataka kusema mama muongo?Kwa ushahidi up? Lugha aliyotumia haimaanishi hivi karibuni na website ya hao WB inasema bado tumo.
Uchumi magumashi wakati wote wa JPM. HUO NDIO UKWELI.Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka..
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Ndio kuna shaka mkuu.Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka..
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Punguza pressure kijana,nyama zipo chini..Kwani tuliwahi kufika huko? Kipato chako kilibadilika wakati yule kichaa anatangaza kuingia uchumi wa kati?