Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka..
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Simanzi
 
Mkiendelea kumponda JPM, tarajieni kushuka kushuka kiuchumi na nyanja nyingine kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea.
 
Sasa kama mungu ndio katurudisha, tunapambana nae wanini
 
 
Rais mzima anasema Mungu ndio katuondoa uchumi wa kati…

Eti sio kosa la mtu ni Mungu!

The most lightweight president in the history of womankind
 
Kumbe tumeshuka Daraja na hata hamsemi?
 
Mimi nilijua tuna Rais KILAZA KWA SASA haijawahi kutokea katika nchi hii, nime kuwa najiuliza sana kwa nini toka aingie madarakani GDP yetu data zake ni zile zile zinatumika za mwaka 2019? nimekuwa nikisema kwa nini hatu update GDP yetu na kutoa taarifa mpya za mwaka 2021 kumbe tayari mambo yalikuwa yamedoda, kwa ufupi huwezi kukuza uchumi kwa kudharau sector za uzalishaji kama kilimo, viwanda, usimamizi mbovu wa rasilimali, mfano madini na kulega lega kwa usimamizi wa miundo mbinu , huduma hafifu Tanesco, hata ukishinda una unakwenda nje kila siku kutafuta wawekezi huwezi pata, hata ujidanye eti una fungua nchi una jidanganya mwenyewe, na hilo Magufuli kawa umbua . Income /capital ambayo ndio kipimo kikubwa cha uchumi kina tegemea zaidi uzalishaji na ushirika mkubwa wa wananchi katika kuzalisha, kuuza bidhaa na kujipatia kipato, toka MAMA aingie madarakani imekuwa ni story story story story na tumerudi zama za kila kitu kutegemea misaada, hakuna tena uzalishaji, mianya ya rushwa, serikali kushindwa kusimamia miradi, madini mapato kushuka, kazi ya kuwa kiongozi wa nchi sio mchezo kama Samia anavyofikiria, na tutaenda chini zaidi ya hapa na mbaya zaidi ana washauri wabovu wa masuala ya uchumi.

Hebu tujiulize toka Samia kaingia madarakani kipi alichofanya cha maanza zaid kila siku kuongelea MAGUFULI? , yeye hawezi kulingana na Magufuli wala hana uwezo huo hata kukaribia tu 0.0001 ya Magufuli, yeye angejikita zaidi kufanya kazi na kuleta maendeleo kwa wananchi.
 
Ki
Kichwa chako kimejaa utegemezi, toka kwa mjomba nenda kaangaike ndugu achana na utegemezi! Na haya ndo madhara ya maziwa ya kopo!
 
Tulikaa kwenye lower boundary ya uchumi wa kati kwa miezi 6 tu, kisha tukadondoka kuliko hata tulipokuwa kabla ya kuingia uchumi wa kati. Na hiyo ilitokea wakati Magufuli akiwa bado hai.
Rais Samia akiwa Mwanza sherehe za hospitali ya Bugando, mwezi Nov 2021 alikiri na kusema kuwa tupo uchumi wa kati hivyo misaada imepungua, akasisitiza wananchi kuchapa kazi. Hivi kinawasaidia nini mnaposema uongo na kuweka chuki kwa mtu asiye kuwepo, ambae tayari ni marehemu.
Hivi uwa mnajiuliza roho zenu zitakapotolewa, itakuwaje? Akili za watu wanaoshindana na marehemu. Badala ya kujikita waanyie nini nchi yao. Hama kweli anaikeni ila ukweli usimama siku zote.
 
Hayo mashirika yangekuwa yanafanya kazi zao kwa fikra zako hata yasingekuwepo
 
Haya mbona sasa kwenye website ya World Bank Tanzania bado ni middle income country.
Serikali itakuwa imesha taarifiwa kwamba imeshuka kutoka uchumi wakati maana World Bank Wana vigezo vyao kukupandisha na kukushusha Serikali ya Mama inaomba misaada Sana ata ya kujenga Choo na Madarasa kama nchi ipo uchumi wakati nchi wahisani upunguza Misaada kwa vigezo inchi inaweza kujitegemea kwahiyo wahisani uanza kukukopesha tu. Professor Ngowi kwenye kipindi cha Uchumi wetu cha ITV alisema nchi imeingia uchumi wakati tusifurahie Sana kuna ugumu wake nchi itaondolewa baadhi ya Misaada na wahisani. Raisi wetu wasasa yeye anaongoza nchi kwa Mawazo yaki masikin ya kuvaa ijabu na kwenda kwa Mabeberu kutembeza bakuli kodi hataki kikusanya yeye tegemeo lake ni kuomba Misaada , sawasa nawewe umeamua kujitegemea kutoka kwenye mikono ya wazaz ladhima baadhi ya Huduma mzaz wako ata sitisha, sasa wazaz wakiona bado unaenda kwa nyumbani kuomba pesa ya chai na chakula na pesa ya kulipa kodi ya Nyumba waziz watajua mtoto kashindwa kujigemea tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi zilizo na uchumi wakati huwezi kuona Ma Raisi wao wanaenda Ulaya hovyo hovyo huwez kusikia na kuona Rais kutoka Ghana, Botswana, Namibia, Nigeria kila mwezi wanaenda Ulaya kuomba pesa za kujenga shule na vyoo Yani usikie Raisi wa Ghana au Namibia kaenda Ulaya kuomba omba kama Raisi wetu huweezi kuona wala kuwasikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka..
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Hamna kitu, ni upuuzi ulitengenezwa na jiwe na data za kupikwa baada ya kumfukuza yule mkaguzi wa serikali.
Fuatilia jinsi nchi ya Greece ilivyowadanganya kwa data za kupika ili kujiunga na umoja wa ulaya na kukubaliwa, na sasa ni amekuwa mzigo wa mwiba....
 
Lengo umtetee huyu bibi yako ushungi the great Failure! Badala ya kujadili nini kifanyike unatupa madongo kwa JPM! Hivi unafikiri wote hapa vichwa panzi kama wewe?
 
Kwani hizo rank alipanga yeye au mashirika ya kimataifa, bro usikimbilie tu kuandika mambo ambayo huyajui😄

Rafiki data zinajieleza zenyewe! Serikali ilijikita kwenye miradi mikubwa!
Pesa za madawa ya kulevya na kuuza viungo vya ALBINO hazikuwepo
 
Wadau,
Heshima kwenu,
Inasikitisha kuona nchi inarudi nyuma kwa speed of light
2.0 × 10^8

"Tumeondolewa Katika Uchuni wa KATI Lakini Tutarudi" - Rais Samia

Udaku SpecialApril 05, 2022


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwamba ingawa Tanzania imeondolewa kwenye nchi zenye uchumi wa kati lakini kufikia mwaka 2025 Tanzania itakuwa imefika au imekaribia kurudi uchumi wa kati.

Mhe. Rais Samia ameyasema hayo leo Aprili 5, 2022 alipokuwa akihutubia katika hafla ya kufungua mkutano wa kitaifa wa haki, amani na maridhiano Tanzania ambao umefanyika Makao Makuu, Dodoma.

"Tanzania tuliingia uchumi wa kati tukarudishwa, siyo kwa mipango ya mtu, ni mipango ya Mungu. Kwahiyo tupambane kurudi tulipokuwa. Na kwa ninavyoiongoza serikali, natarajia kufikia 2025 tutakuwa tumefika au tunakaribia kurudi uchumi wa kati" - Rais Samia Suluhu Hassan.

Aidha katika hotuba yake, Rais Samia amewasisitiza viongozi wa vyama vya kisiasa kuhakikisha kwamba wanautumia mkutano huo vema na kumpelekea mapendekezo yenye tija kwa Tanzania na watu wake.

Rais Samia amewakumbusha wajumbe wa mkutano huo kuwa Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe na hivyo wajadili mambo ambayo yanaendana na mazingira ya Kitanzania na kuongeza kwamba kazi ya vyama vingi ni kuona yanayofanywa na serikali na kutoa maoni kwa serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…