MR MLAWA
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 304
- 507
SimanziMwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka..
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SimanziMwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka..
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
Wale "wanyonge" mnaotetea mungu-mtu wenu, jisomeeni hapa. Kama hauna akili ya kusoma article nzima, soma mistari 2 nilipoigia msitari. Kama hauwezi ng'eng'e, tumia Google translate basi. Kama haiwezekani pia mtapokwenda Lumumba, mwombeni January awape tafsiri yake. - kababu Nigrastratatract victor solomon Interlacustrine R Interlacustrine E nao Full Blood Picture Omulasil tameer johnthebaptist Countrywide Crimea vamda Jumbe Brown kabila01 Ame Rweye Lu-ma-ga Watery cotyledon alubati stevhinoz Top leader magu2016 Loftins Lucas philipo Meela KIXI Meneja Wa Makampuni kipande Stefano Mtangoo Micho greenwoods @Ramo
Hizi ni kweli mmesahau hili? Ama ni kushabikia mungu-mtu wenu kama timu ya mpira? Wanyonge, buana.... mwendazake kama aliwavutisha madawa fulani. Yaani hamwelewi kitu kabisa!?
Tanzania president blocks critical IMF report on economy
Joseph Cotterill in Johannesburg
April 18 2019
Fund warns over 'unpredictable and interventionist policies' under Magufuli
View attachment 2177072
More information can be found here.
Subscribe to read | Financial Times
Tanzania was criticised by the International Monetary Fund for unpredictable economic policies and unreliable statistics in a report that President John Magufuli’s government blocked from publication this week. The unreleased report, seen by the Financial Times, warned of “unpredictable and interventionist policies that worsen the investment climate and could lead to meagre [or even negative] growth” in east Africa’s second-largest economy. The criticism appears to have earned the wrath of Mr Magufuli, who has been called “The Bulldozer” over his abrasive and erratic style, including attacks on foreign investors. The IMF said on Wednesday that the Tanzanian authorities had not consented to publication of the report, produced as part of the fund’s “Article IV” annual check-ups on countries’ economic health. Governments have a right to block publication but the reports are usually routine affairs and are almost always made public. Tanzania’s refusal to release the report has alarmed international investors, who already fear the government is hiding the true state of the economy. Tanzania has criminalised the release of statistics that vary from the official version, in a law that the World Bank has called deeply concerning. The IMF report said there were “serious weaknesses” in official Tanzanian statistics that point to gross domestic product growth of 7 per cent. The report said that “urgent steps are required to improve the national accounts” and urged Mr Magufuli’s government “to ensure an open and independent statistics agency”. Recommended African politics Tanzania opposition leader blames president after shooting According to IMF estimates released earlier this month, the economy will grow 4 per cent this year. Since his election in 2015 Mr Magufuli has launched a crusade against corruption but also clashed repeatedly with business. His government has pushed to renegotiate and limit foreign investment in sectors such as mining. The policy has “clouded the investment climate”, the IMF said. Mr Magufuli last year rocked international commodity markets when he ordered the army to buy the country’s entire crop of cashews after a stand-off over prices. Tanzania is a big producer of the nut. In 2017, Mr Magufuli targeted London-listed Acacia Mining, a gold producer, with demands for $190bn in tax penalties. Acacia eventually paid $300m and agreed to reconsider its business model in the country as goodwill gestures to end the dispute. The IMF report also pointed to a slowdown in investment activity since Mr Magufuli came to power. Foreign investment fell to 2 per cent of GDP in 2017 from roughly 5 per cent in 2014, according to World Bank data. The IMF said: “The Fund does not comment on leaked reports.”
Source: Subscribe to read | Financial Times.
Punguza pressure kijana,nyama zipo chini..
Kichwa chako kimejaa utegemezi, toka kwa mjomba nenda kaangaike ndugu achana na utegemezi! Na haya ndo madhara ya maziwa ya kopo!Ulidanganywa kuwa uchumi wako umekuwa na yule kichaa. Na wewe kwa akili yako, ukapiga makofi.. pwa, pwa, pwa... wakati ukweli ni kuwa kipato chako bado kiko pale pale.
Unafikiri World Bank wanatoa wapi takwimu zao. Wanatumia takwimu zinazotoka hapa hapa Tanzania. Takwimu hazitoki makao makuu ya World Bank Marekani.
Yule kichaa IMF walimwambia kuwa takwimu zake ni feki. Akakasirika na kuwazuia IMF kuchapisha takwimu zao zilzoonyesha kuwa uchumi unakuwa kwa kiwango kidogo.
Unachuki tu za kishamba zisizo na sababu ya msingi. Ipo siku huu ushamba wa kufata mkumbo utawatoka na mtabaki na aibu kubwaKwani tuliwahi kufika huko? Kipato chako kilibadilika wakati yule kichaa anatangaza kuingia uchumi wa kati?
Rais Samia akiwa Mwanza sherehe za hospitali ya Bugando, mwezi Nov 2021 alikiri na kusema kuwa tupo uchumi wa kati hivyo misaada imepungua, akasisitiza wananchi kuchapa kazi. Hivi kinawasaidia nini mnaposema uongo na kuweka chuki kwa mtu asiye kuwepo, ambae tayari ni marehemu.Tulikaa kwenye lower boundary ya uchumi wa kati kwa miezi 6 tu, kisha tukadondoka kuliko hata tulipokuwa kabla ya kuingia uchumi wa kati. Na hiyo ilitokea wakati Magufuli akiwa bado hai.
Hayo mashirika yangekuwa yanafanya kazi zao kwa fikra zako hata yasingekuwepoNgoja nijaribu kukuondolea ujinga. Mashirika ya kimataifa - WB, IMF, WHO, ILO, FAO, nk hutumia takwimu zinazopatikana katika nchi ili ku-grade nchi. Kama utatoa takwimu za uongo, grading yao pia itakuwa ya uongo. Magufuli aliambiwa na IMF kuwa uchumi unakuwa kwa 4.5%, akatakaa, kichaa kikampanda, akagombana na IMF huku akisema uchumi wetu unakuwa kwa 7%. Ingetumika 4.5% nani angesema uko uchumi wa kati? Jielimishe. Usiishie kuwa mpiga kura wa CCM tu. Usitumike.
victor solomon - siyo vibaya na wewe ukijielimisha. Nimesoma ulichoandika.
Serikali itakuwa imesha taarifiwa kwamba imeshuka kutoka uchumi wakati maana World Bank Wana vigezo vyao kukupandisha na kukushusha Serikali ya Mama inaomba misaada Sana ata ya kujenga Choo na Madarasa kama nchi ipo uchumi wakati nchi wahisani upunguza Misaada kwa vigezo inchi inaweza kujitegemea kwahiyo wahisani uanza kukukopesha tu. Professor Ngowi kwenye kipindi cha Uchumi wetu cha ITV alisema nchi imeingia uchumi wakati tusifurahie Sana kuna ugumu wake nchi itaondolewa baadhi ya Misaada na wahisani. Raisi wetu wasasa yeye anaongoza nchi kwa Mawazo yaki masikin ya kuvaa ijabu na kwenda kwa Mabeberu kutembeza bakuli kodi hataki kikusanya yeye tegemeo lake ni kuomba Misaada , sawasa nawewe umeamua kujitegemea kutoka kwenye mikono ya wazaz ladhima baadhi ya Huduma mzaz wako ata sitisha, sasa wazaz wakiona bado unaenda kwa nyumbani kuomba pesa ya chai na chakula na pesa ya kulipa kodi ya Nyumba waziz watajua mtoto kashindwa kujigemea tena.Haya mbona sasa kwenye website ya World Bank Tanzania bado ni middle income country.
Nchi zilizo na uchumi wakati huwezi kuona Ma Raisi wao wanaenda Ulaya hovyo hovyo huwez kusikia na kuona Rais kutoka Ghana, Botswana, Namibia, Nigeria kila mwezi wanaenda Ulaya kuomba pesa za kujenga shule na vyoo Yani usikie Raisi wa Ghana au Namibia kaenda Ulaya kuomba omba kama Raisi wetu huweezi kuona wala kuwasikiaYaani hapa Maza kanishangaza. Nimesikiliza mara mbili mbili simuelewi. Yaani tumerudishwa kwa uwezo wa Mungu... Sasa tulipanda kwa uwezo wa nani?
Kama Mungu katushusha sasa tutapandaje wenyewe bila Mungu..!? Wazanzibar he u tusaidieni na hicho kiswahili chenu, tafadhari.
Hamna kitu, ni upuuzi ulitengenezwa na jiwe na data za kupikwa baada ya kumfukuza yule mkaguzi wa serikali.Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka..
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Lengo umtetee huyu bibi yako ushungi the great Failure! Badala ya kujadili nini kifanyike unatupa madongo kwa JPM! Hivi unafikiri wote hapa vichwa panzi kama wewe?Hamna kitu, ni upuuzi ulitengenezwa na jiwe na data za kupikwa baada ya kumfukuza yule mkaguzi wa serikali.
Fuatilia jinsi nchi ya Greece ilivyowadanganya kwa data za kupika ili kujiunga na umoja wa ulaya na kukubaliwa, na sasa ni amekuwa mzigo wa mwiba....
Kwani hizo rank alipanga yeye au mashirika ya kimataifa, bro usikimbilie tu kuandika mambo ambayo huyajui😄
Rafiki data zinajieleza zenyewe! Serikali ilijikita kwenye miradi mikubwa!Hamna kitu, ni upuuzi ulitengenezwa na jiwe na data za kupikwa baada ya kumfukuza yule mkaguzi wa serikali.
Fuatilia jinsi nchi ya Greece ilivyowadanganya kwa data za kupika ili kujiunga na umoja wa ulaya na kukubaliwa, na sasa ni amekuwa mzigo wa mwiba....
.Mataga huwa hayana kumbukumbu,mama kasema na yenyewe yamegeuka Kama mazuzu.