Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Umeandika upuuuzi mtupu!Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea...
Hili ni jukwaa la great thinkers! Ukikurupuka na kujibu ugoro utaonekana hufai hili jukwaa!, maendeleo ya kiuchumi na ukuaji wa uchumi ni mambo mawili tofauti;Mkuu tunazungumzia maendeleo ya watu sio miti mambo ya development na growth tofautisha wewe mimi nachojua Nchi ni masikini pamoja na watu wake...
JPM ni Nani akataze machapisho ya IMF au habari zake..?Ulidanganywa kuwa uchumi wako umekuwa na yule kichaa. Na wewe kwa akili yako, ukapiga makofi.. pwa, pwa, pwa... wakati ukweli ni kuwa kipato chako bado kiko pale pale
Umeandika upuuuzi mtupu!
Uwongo wake ni UPI iwapo mkuu wa nchi amesema tulifikia hiko kiwango na tumeshuka....!
Hivi, ulielewa alichosema mama Samia?
hii si opinion ya mtu. Kama hujui ni nani anayetangaza kuwa nchi fulani iko kwenye uchumi level gani basi ukae kimya. Halafu it may not be fair kuwa kwenye kundi tukufu la great thinkers kama hujui elementary things.
Kumbe yeye ndio alitangaza?Nilijua ni WB? So rais wa nchi akitangaza tu kuwa nchi ipo uchumi wa kati na WB nao kwenye taarifa zao wana update?
India uchumi wao upo juu wananchi hawana sehemu za kulala Wana lala barabarani yani utakuta familia na ukoo hawapajui kwao wanajua kwao ni barabarani bora Tanzania ombaomba unaweza kumpa nauli akarudi kwao, Ethiopia Uchumi wao upo juu kuliko Tanzania lakini wananchi wao wanaikimbia nchi yao wanakuja kuokotwa wamekufa Tanzania kwenye maloriUchumi unatakiwa uakisi mezani kwa maana Awamu ya yule Punguwani hata Vitumbua vilikauka mezani.
Uchumi wa kati watu walikuwa wanashindia mlo mmoja uchumi gani sasa?
Mkuu, stop it. Tanzania bado inatambuliwa kama middle income economy according to WB.Hoja iko mezani, lete counterarguments. Nimekuwekea na reference ya ugomvi wa Magufuli na IMF juu ya data za kubumba zisizo halisia. Sijui unabisha nini tu. Mapenzi ya kijinga bila hoja inaonyesha jinsi ulivyomufisili.
Mkuu, stop it. Tanzania bado inatambuliwa kama middle income economy according to WB.
Wewe usimsikilize mwanasiasa yeyote.Kwa hiyo CCM wazidi kudanganya? Jana mwenyekiti wao kasema tumetelemshwa. Kama kweli basi kweli nchi iko mikononi mwa washamba.
Wewe usimsikilize mwanasiasa yeyote.
Mbowe, Zitto, Samia, Kikwete etc ...
They are politicians, akikwambia nyungu inaponya Covid usimsikilize, do your own research.
Being a leader, doesn't mean you are the smartest. Ni binadamu tu kama wewe.
Kha..we jamaa mmmh.ndo alikuwa ana cook data anazipeleka world bank...mzee wa fix. Hawezi pumzika, anateseka huko aliko
India ni wachache ndio wenye utajiri wa Nchi.India uchumi wao upo juu wananchi hawana sehemu za kulala Wana lala barabarani yani utakuta familia na ukoo hawapajui kwao wanajua kwao ni barabarani bora Tanzania ombaomba unaweza kumpa nauli akarudi kwao, Ethiopia Uchumi wao upo juu kuliko Tanzania lakini wananchi wao wanaikimbia nchi yao wanakuja kuokotwa wamekufa Tanzania kwenye malori
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya wewe na yeye punguani ni nani?India ni wachache ndio wenye utajiri wa Nchi.
Ethiopia ni ukabila ndio unaowasumbua.
Hapa uchumi wetu enzi za Punguwani data zilipikwa vilivyo.
Uchumi ni vitumbua mezani na chai eidha iwe ya rangi au maziwa asubuhi
Ugali au Wali kwa Nyama au Samaki na Mboga mboga za kusindikiza mchana.
Usiku Wali kwa chai ya rangi
Huo ndio uchumi sio huo uchumi njaa wa kwenye makaratasi.
Huo Upunguwani wangu hauambatani na PhdNani kakwambia uchumi unapimwa kwa vitumbua na maandazi tu?
Sasa kama haupo kwenye orodha ya wenye Phd, kwanini unajinasibu na wenye Phd na bado upo kwenye jukwaa la critical thinkers unachangia urojorojo?Huo Upunguwani wangu hauambatani na Phd
Ila uchumi unatakiwa uonekane mezani
Namshukuru Mungu kama Phd zenyewe ndio hizo za kujenga Airport Kijijini.Sasa kama haupo kwenye orodha ya wenye Phd
Daah unadhani unanifundisha mimi kuhusu hayo au unajiongelea tuu...yaani unifundishe wewe kiande mambo ya economic development kweliHili ni jukwaa la great thinkers! Ukikurupuka na kujibu ugoro utaonekana hufai hili jukwaa!, maendeleo ya kiuchumi na ukuaji wa uchumi ni mambo mawili tofauti;
Ukuaji wa uchumi unaweza pelekea maendeleo ya uchumi;
Na WB walichonanisha ni UKUAJI WA PATO LA TAIFA