Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea...
Umeandika upuuuzi mtupu!

Uwongo wake ni UPI iwapo mkuu wa nchi amesema tulifikia hiko kiwango na tumeshuka....!

Hivi, ulielewa alichosema mama Samia?
 
Mkuu tunazungumzia maendeleo ya watu sio miti mambo ya development na growth tofautisha wewe mimi nachojua Nchi ni masikini pamoja na watu wake...
Hili ni jukwaa la great thinkers! Ukikurupuka na kujibu ugoro utaonekana hufai hili jukwaa!, maendeleo ya kiuchumi na ukuaji wa uchumi ni mambo mawili tofauti;
Ukuaji wa uchumi unaweza pelekea maendeleo ya uchumi;
Na WB walichonanisha ni UKUAJI WA PATO LA TAIFA
 
Mbona kwenye tovuti ya Benk ya Dunia, Tanzania bado ipo kwenye uchumi wa kati? Rais katoa wapi hiyo taarifa? Au Benki ya Dunia wamechelewa kubadilisha kwenye tovuti yao?

Tovuti hii hapa Lower middle income | Data
 
Soma basi. kama hauwezi ng'eng'e mpe mtu mwingine akupe tafsiri. Acha kuonyesha ujinga wako. Unauliza swali sehemu ambayo umeonyeshwa jibu!! Nimekuwekea reference halafu unauliza swali ambalo limejibiwa juzi kwa reference. Utakuwa na mtindio sasa. Kwa watu wa aina yako, sina muda wa kupoteza🙌
Umeandika upuuuzi mtupu!

Uwongo wake ni UPI iwapo mkuu wa nchi amesema tulifikia hiko kiwango na tumeshuka....!

Hivi, ulielewa alichosema mama Samia?
 
Mawazo ya mtu ni haya yako yasiyokuwa na reference. Nimeweka argument na reference. Halafu unabwabwaja na kupiga soga bila reference yoyote kama umeachwa mjane 17 Mar 2021!!
hii si opinion ya mtu. Kama hujui ni nani anayetangaza kuwa nchi fulani iko kwenye uchumi level gani basi ukae kimya. Halafu it may not be fair kuwa kwenye kundi tukufu la great thinkers kama hujui elementary things.
 
Nimekupa reference acha kubwabwaja kama ushabiki wa Yanga na Simba.
Kumbe yeye ndio alitangaza?Nilijua ni WB? So rais wa nchi akitangaza tu kuwa nchi ipo uchumi wa kati na WB nao kwenye taarifa zao wana update?
 
Uchumi unatakiwa uakisi mezani kwa maana Awamu ya yule Punguwani hata Vitumbua vilikauka mezani.

Uchumi wa kati watu walikuwa wanashindia mlo mmoja uchumi gani sasa?
India uchumi wao upo juu wananchi hawana sehemu za kulala Wana lala barabarani yani utakuta familia na ukoo hawapajui kwao wanajua kwao ni barabarani bora Tanzania ombaomba unaweza kumpa nauli akarudi kwao, Ethiopia Uchumi wao upo juu kuliko Tanzania lakini wananchi wao wanaikimbia nchi yao wanakuja kuokotwa wamekufa Tanzania kwenye malori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja iko mezani, lete counterarguments. Nimekuwekea na reference ya ugomvi wa Magufuli na IMF juu ya data za kubumba zisizo halisia. Sijui unabisha nini tu. Mapenzi ya kijinga bila hoja inaonyesha jinsi ulivyomufisili.
Mkuu, stop it. Tanzania bado inatambuliwa kama middle income economy according to WB.
 
Kwa hiyo CCM wazidi kudanganya? Jana mwenyekiti wao kasema tumetelemshwa. Kama kweli basi kweli nchi iko mikononi mwa washamba.

Wewe usimsikilize mwanasiasa yeyote.
Mbowe, Zitto, Samia, Kikwete etc ...
They are politicians, akikwambia nyungu inaponya Covid usimsikilize, do your own research.
Being a leader, doesn't mean you are the smartest. Ni binadamu tu kama wewe.
 
Naona umeunga juhudi zangu... Walaaniwe hao waongo.
Wewe usimsikilize mwanasiasa yeyote.
Mbowe, Zitto, Samia, Kikwete etc ...
They are politicians, akikwambia nyungu inaponya Covid usimsikilize, do your own research.
Being a leader, doesn't mean you are the smartest. Ni binadamu tu kama wewe.
 
India uchumi wao upo juu wananchi hawana sehemu za kulala Wana lala barabarani yani utakuta familia na ukoo hawapajui kwao wanajua kwao ni barabarani bora Tanzania ombaomba unaweza kumpa nauli akarudi kwao, Ethiopia Uchumi wao upo juu kuliko Tanzania lakini wananchi wao wanaikimbia nchi yao wanakuja kuokotwa wamekufa Tanzania kwenye malori

Sent using Jamii Forums mobile app
India ni wachache ndio wenye utajiri wa Nchi.

Ethiopia ni ukabila ndio unaowasumbua.

Hapa uchumi wetu enzi za Punguwani data zilipikwa vilivyo.

Uchumi ni vitumbua mezani na chai eidha iwe ya rangi au maziwa asubuhi

Ugali au Wali kwa Nyama au Samaki na Mboga mboga za kusindikiza mchana.

Usiku Wali kwa chai ya rangi

Huo ndio uchumi sio huo uchumi njaa wa kwenye makaratasi.
 
Kati ya wewe na yeye punguani ni nani?
Nani kakwambia uchumi unapimwa kwa vitumbua na maandazi tu?
Pato la taifa lina vigezo vyake jinsi ya kulitafuta ndo maana aliwaondoa makazini nyie vihiyo!
 
Huo Upunguwani wangu hauambatani na Phd
Ila uchumi unatakiwa uonekane mezani
Sasa kama haupo kwenye orodha ya wenye Phd, kwanini unajinasibu na wenye Phd na bado upo kwenye jukwaa la critical thinkers unachangia urojorojo?
 
Hili ni jukwaa la great thinkers! Ukikurupuka na kujibu ugoro utaonekana hufai hili jukwaa!, maendeleo ya kiuchumi na ukuaji wa uchumi ni mambo mawili tofauti;
Ukuaji wa uchumi unaweza pelekea maendeleo ya uchumi;
Na WB walichonanisha ni UKUAJI WA PATO LA TAIFA
Daah unadhani unanifundisha mimi kuhusu hayo au unajiongelea tuu...yaani unifundishe wewe kiande mambo ya economic development kweli
 
Back
Top Bottom