Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Uyo alisema watu wa kigamboni kma atuna 200 tupige mbizi
 
Ngoja nijaribu kukuondolea ujinga. Mashirika ya kimataifa - WB, IMF, WHO, ILO, FAO, nk hutumia takwimu zinazopatikana katika nchi ili ku-grade nchi. Kama utatoa takwimu za uongo, grading yao pia itakuwa ya uongo. Magufuli aliambiwa na IMF kuwa uchumi unakuwa kwa 4.5%, akatakaa, kichaa kikampanda, akagombana na IMF huku akisema uchumi wetu unakuwa kwa 7%. Ingetumika 4.5% nani angesema uko uchumi wa kati? Jielimishe. Usiishie kuwa mpiga kura wa CCM tu. Usitumike.

victor solomon - siyo vibaya na wewe ukijielimisha. Nimesoma ulichoandika.
I loved the way he lied!
 
Binafsi sikuwahi kuamini kama tuliwahi kufika uchumi wa Kati!
Ukibahatika kufika baadhi ya nchi za uchumi wakati, pia hutaweza kuamini.
Ni nchi zenye maisha magumu sana.
Maisha magumu sana yapo nchi nyingi sana na ni maisha ya watu wengi sana duniani.
 
Nikiwaambia Mwendazake aliua uchumi hamuelewi.

Ukweli ni kwamba hakuna kitu cha kuzalisha alifanya Mwendazake,miradi yote aliyoianzisha hakuna uliomalizika na uwekezaji na biashara ndio zilijifia kama hazina mwenyewe.
Yeye mwenyewe hakumaliza muda wake wa kuongoza,
Ambapo alikuwa ameplan kukamilisha kabla ya kufika mwisho wa uongozi wake,.
Sasa unapomlaumu, Ni sawa na kumlaumu mtoto aliefariki akiwa form 5 kwamba kakutia hasara ya ada kwa mradi wa elimu ambao haukukamilika..
 
Lazima tufundishane ndugu! Pato la Taifa likiongezeka/likikua hata kwa 0.001, maanake kuna ongezeko,
Economic development inapimwa na vitu vingine
Daah unadhani unanifundisha mimi kuhusu hayo au unajiongelea tuu...yaani unifundishe wewe kiande mambo ya economic development kweli
U
 
Wala hawakudanganya ila ukweli ni kwamba mwaka 2020 uchumi ulikuwa taabani na ndio sababu za kuchukua mkopo wa covid 19..

Ila nyie hamuwezi kujua kwa sababu sio wafuatiliaji ila wachumi wanafahamu kilichokuwa kinaendelea.
Kwa hiyo , July 2020 wakati world Bank wanatutangaza kuingia uchumi wa Kati , uchumi wetu ulikuwa taabani!!!
Kama kweli Ni hivyo walikuwa wanamdanganya Nani?
 
Alipoingia magufuli raia walishindwa kulipa ada na hata wengine kusitisha mipango ya kuwapeleka shule za kulipia kwa sababu maisha yalikuwa magumu Hadi watu walikuwa wakitumia msemo VYUMA VIMEKAZA !
We muongo!!!!!!!
Hawakushindwa kulipa ada, kulikuwa na elimu bure!!!
Hakuna aliesitisha kupeleka mtoto wake shule, badala yake wale walioshindwa kupeleka watoto wao shule awamu zilizopita, waliamua ama kulazimika kuwapeleka watoto wao shule kwa kukosa kisingizio.
Ni katika awamu ya Magufuli tumeshuhudia ongezeko la wanafunzi la kutisha Hadi mada rasa hayatoshi!!!!
 
Yeye mwenyewe hakumaliza muda wake wa kuongoza,
Ambapo alikuwa ameplan kukamilisha kabla ya kufika mwisho wa uongozi wake,.
Sasa unapomlaumu, Ni sawa na kumlaumu mtoto aliefariki akiwa form 5 kwamba kakutia hasara ya ada kwa mradi wa elimu ambao haukukamilika..
Miaka 6 ilitosha,how comes leo mnataka mama amalize miradi iliyomshinda mtu fulani kwa miaka 6 eti aikamilishe kwa mwaka mmja,huu si ni wendawazimu? Eti aanzishe na mipya pia.
 
Tanzania kufika kwenye Uchumi wa Kati, yalikuwa maneno ya kisiasa tu.Vigezo gani vilitumika,inawezekana wataalaam wetu,walipika data,na IMF sidhani kama walihakiki data.Siku zote njia ya muongo Ni fupi.
 
Naomba mnijuze kama kuna kaukweli naona tetesi mitandaoni ati " uchumi wa kati kwa sasa hatumo, tumeshatolewa" haka kasentensi ni kaukweli au ni blaa blaa za vandugu vapinzani!
Ila kama vile na kakiongosi kaccm kama kameongerea sehemu furani hifi...kwamba hatumo ni kweriii?

Kama ni kweli 2025! sina haja ya kulichagua lichama la CCM

Jamani nchi inatetema, nchi inapukutika kama Mayele daaaaa.. kila kitu ni usanii mtupu!
 
Watanzania vichwa maji sana hii nchi kweli iliwahi kuingia kwenye huo uchumi!!
na sababu zipi zilizoiondoa huko
Uchumi wa kati wa mchongo tu hatujawahi kufika huko huwenda hata kuna watu walihongwa ili uchumi uonekane unakuwa kumbe hamna kitu enzi za Magufuli uchumi ulikuwa unashuka na siyo kupanda

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tuliwahi kuwa stage hiyo ya uchumi was kati lini na kipi kilibadirika kwenye maisha yako tofauti na maisha uliyonayo Sasa ?
 
Si mmeambiwa na mcheza movie za mabilioni kuwa ni mapenzi ya Mungu? ama hujaskia ile statement yake? pale nchi inapomuelemea kiongozi wao huku wasaidizi wake wakiendelea kumsifia kuwa anaupiga mwingi ndio hapo chacha
 
Back
Top Bottom