So MAMA is right. tumwache asonge mbele. what went on behind the scenes hayatuhusu.Hoja Ni hoja. Sasa wewe unakaribisha vikao makaburini. Mkuu we Ni mchawi? Lakini kwa kujibu upumbavu wa swali lako Ni kuwa Hakuna duniani, narudia duniani anayeweza fanya jambo peke yake. Iwe Id Amin dada au mjomba wako. Swala na nani ni swala la kipindi kijacho.
Labda tujue kwanza sheria za nchi zinasemaje juu ya mikopo. Je spika huwa anashirikishwa katika mchakato?Kauli ile hata Mimi niliogopa mbona Mama anajikaanga mwenyewe.Kumbe Ndugai alikuwa right hakushilikishwa chochote
Marehemu naona alikuwa anashirikisha ndo maana walienda sawa na mihilili mingine maana hatukuyaona haya yanayotokea
Kuna mtu alichukua pesal na kujenga uwanja wa ndege kwao, huyo Ndungai au wew umewahi lizungumzia? Au halina tija?Hoja ni Hoja sababu ya uzito wake au sababu kaitoa fulani ?
Hata kichaa leo akizungumzia jambo ambalo lina uzito / mantiki tusiliongelee sababu kichaa amesema..., Kumbuka hii hoja imekuwa ikiongelewa kila leo imepewa uzito sasa hizi sababu Spika ndio amezungumza..., ila Hoja za Matumizi na Mikopo ni Hoja zenye afya kuzungumzwa
Tuwekee clip ya alichosema vinginevyo haitakuwa validNikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Hadi ajisikie fanya hvyo... Na hata akijisikia spika akiitwa anapewa taarifa tu ya mawazo ya RAIS...na akipewa nafasi ya kutoa maoni... anabless mawazo ya RAIS.Labda tujue kwanza sheria za nchi zinasemaje juu ya mikopo. Je spika huwa anashirikishwa katika mchakato?
Kama ndugai hakuzungumzia hilo haimaanishi na hili asisungumzie, na hilo la nepotism na watu kutokufuata utaratibu limeongelewa sana ni moja kati ya mapungufu JPM aliyofanya kwenye hili taifaKuna mtu alichukua pesal na kujenga uwanja wa ndege kwao, huyo Ndungai au wew umewahi lizungumzia? Au halina tija?
Je, kwenye hiyo kauli a rais umeona popote huyo katibu wa baraza la mawaziri kuhusishwa?Wewe ni mbuzi, aliyekwambia kila maamuzi yanahitaji Baraza la Mawaziri ni nani? Ndio maana ya kuwepo Katibu wa Baraza la Mawaziri Chief Secretary
Yule alibananishwa? Nani hao walikuwa na uthubutu huo?Kosa moja halihalalishi kosa la pili, yule alibananishwa kivyake, na huyu tutamminya kisawasawa!
Nimejiuliza hata Makamo wa Rais hana nafasi wala gavana wa benk kuu au katibu wizara ya fedha kumbuka Rais, Katibu sio wataalam wa masuala ya fedha, Waziri haaminiki sasa wataalam wameachwa kwenye kikao muhimu kama hicho. Hapa kuna kitu hakiko sawa.Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Una shida kweli kweli,Rais kasema alijadili yeye , Waziri wa Fedha na Katibu mkuu kiongozi, Katibu mkuu kiongozi ndio chief secretary na secretary to the cabinet.Je, kwenye hiyo kauli a rais umeona popote huyo katibu wa baraza la mawaziri kuhusishwa?
Unawezaje kumtoa Rais Samia kwenye dhahama ya ukopaji awamu ya tano!?.?.. Kwani yeye hakuwa sehemu ya serikali, tena makamu wa Rais, hii inaonyesha kuwa alikuwa anayajua yote mambo yanayoendelea.Unajua maana ya DENI KUIVA??? Hapo MAGUFULI ALICHUKUA MKOPO HIVYO MAREJESHO YAMESHAFIKA. KWAHIYO MAMA SAMIA KAONA BORA WAANZE KULIPA HAYO MADENI. Tatizo letu hatufuatilii mambo na kuona kama Mama Samia haya madeni ndio msababishaji au la.
Sawa. Alisga tuambia yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Hatutegemei afanye the oppositeKwenye awamu ya 5 nafasi ya hilo bunge ilikuwepo?...
Kila siku wimbo katiba mpya nyie mko busy jamii forums mnakata viuno.Nilishangaa sana watu 2 kuamua mustakabali wetu na vizazi vyetu.
Kichwa cha marehemu ni baraza kuu tofauti na mazuzu ya sisiemu 10000Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Lakini mambo yalikuwa yanakwenda vizuri sana hadi dunia kutambua siyo mchezoKwenye awamu ya 5 nafasi ya hilo bunge ilikuwepo?...
Kwani hayo ni maneno yangu au Samia ndio kasema?Kama hujui public finance uliza ndg yangu na kuuuliza si ujinga kuliko utumbo huu unasema hapa
Sawa mkuu, Ndugai kasepa mwenyewe sasa.Kama ndugai hakuzungumzia hilo haimaanishi na hili asisungumzie, na hilo la nepotism na watu kutokufuata utaratibu limeongelewa sana ni moja kati ya mapungufu JPM aliyofanya kwenye hili taifa
Ushatoka chato kufagia kwenye kaburi la yule shetani?
Enzi zake alikuwa alfa na omega haitaji hata mkewe achilia mbali bunge na mawaziri amshauri.
Na maamuzi yake ndo kila kitu.
Muacheni mama afanye apendavyo wanafki wakubwa nyinyi.