data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
So MAMA is right. tumwache asonge mbele. what went on behind the scenes hayatuhusu.Hoja Ni hoja. Sasa wewe unakaribisha vikao makaburini. Mkuu we Ni mchawi? Lakini kwa kujibu upumbavu wa swali lako Ni kuwa Hakuna duniani, narudia duniani anayeweza fanya jambo peke yake. Iwe Id Amin dada au mjomba wako. Swala na nani ni swala la kipindi kijacho.