Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

Hoja Ni hoja. Sasa wewe unakaribisha vikao makaburini. Mkuu we Ni mchawi? Lakini kwa kujibu upumbavu wa swali lako Ni kuwa Hakuna duniani, narudia duniani anayeweza fanya jambo peke yake. Iwe Id Amin dada au mjomba wako. Swala na nani ni swala la kipindi kijacho.
So MAMA is right. tumwache asonge mbele. what went on behind the scenes hayatuhusu.
 
Kauli ile hata Mimi niliogopa mbona Mama anajikaanga mwenyewe.Kumbe Ndugai alikuwa right hakushilikishwa chochote
Marehemu naona alikuwa anashirikisha ndo maana walienda sawa na mihilili mingine maana hatukuyaona haya yanayotokea
Labda tujue kwanza sheria za nchi zinasemaje juu ya mikopo. Je spika huwa anashirikishwa katika mchakato?
 
Hoja ni Hoja sababu ya uzito wake au sababu kaitoa fulani ?

Hata kichaa leo akizungumzia jambo ambalo lina uzito / mantiki tusiliongelee sababu kichaa amesema..., Kumbuka hii hoja imekuwa ikiongelewa kila leo imepewa uzito sasa hizi sababu Spika ndio amezungumza..., ila Hoja za Matumizi na Mikopo ni Hoja zenye afya kuzungumzwa
Kuna mtu alichukua pesal na kujenga uwanja wa ndege kwao, huyo Ndungai au wew umewahi lizungumzia? Au halina tija?
 
Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!

Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Tuwekee clip ya alichosema vinginevyo haitakuwa valid
 
Labda tujue kwanza sheria za nchi zinasemaje juu ya mikopo. Je spika huwa anashirikishwa katika mchakato?
Hadi ajisikie fanya hvyo... Na hata akijisikia spika akiitwa anapewa taarifa tu ya mawazo ya RAIS...na akipewa nafasi ya kutoa maoni... anabless mawazo ya RAIS.
 
Kuna mtu alichukua pesal na kujenga uwanja wa ndege kwao, huyo Ndungai au wew umewahi lizungumzia? Au halina tija?
Kama ndugai hakuzungumzia hilo haimaanishi na hili asisungumzie, na hilo la nepotism na watu kutokufuata utaratibu limeongelewa sana ni moja kati ya mapungufu JPM aliyofanya kwenye hili taifa
 
Wewe ni mbuzi, aliyekwambia kila maamuzi yanahitaji Baraza la Mawaziri ni nani? Ndio maana ya kuwepo Katibu wa Baraza la Mawaziri Chief Secretary
Je, kwenye hiyo kauli a rais umeona popote huyo katibu wa baraza la mawaziri kuhusishwa?
 
Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!

Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Nimejiuliza hata Makamo wa Rais hana nafasi wala gavana wa benk kuu au katibu wizara ya fedha kumbuka Rais, Katibu sio wataalam wa masuala ya fedha, Waziri haaminiki sasa wataalam wameachwa kwenye kikao muhimu kama hicho. Hapa kuna kitu hakiko sawa.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Je, kwenye hiyo kauli a rais umeona popote huyo katibu wa baraza la mawaziri kuhusishwa?
Una shida kweli kweli,Rais kasema alijadili yeye , Waziri wa Fedha na Katibu mkuu kiongozi, Katibu mkuu kiongozi ndio chief secretary na secretary to the cabinet.
 
Unajua maana ya DENI KUIVA??? Hapo MAGUFULI ALICHUKUA MKOPO HIVYO MAREJESHO YAMESHAFIKA. KWAHIYO MAMA SAMIA KAONA BORA WAANZE KULIPA HAYO MADENI. Tatizo letu hatufuatilii mambo na kuona kama Mama Samia haya madeni ndio msababishaji au la.
Unawezaje kumtoa Rais Samia kwenye dhahama ya ukopaji awamu ya tano!?.?.. Kwani yeye hakuwa sehemu ya serikali, tena makamu wa Rais, hii inaonyesha kuwa alikuwa anayajua yote mambo yanayoendelea.

Tujiulize kitu kimoja, ni afya kweli kukopa deni ili ulipe deni?.?. Katika uchumi si hali nzuri kabisa kukopa deni ili kulipa deni (Loan transfer). Hii inaonyesha kuwa nchi imeshindwa kupata fedha za kutosha ku-cover deni. Japo tunaambiwa ni mikopo isiokuwa na riba, Nani anayejua na kama ni kweli kwanini wasiweke nyaraka hadharani ili tujue condition ambazo ziko attached na hiyo mikopo, Tuna haki ya kujua maana walipaji ni SISI WANANCHI.

Mkopo ni mkopo tu, na deni ni deni tu! . Kikubwa viongozi wanatakiwa kujua ni TUJIKUNE PALE TUNAPOWEZA, tusitafute legacy baada ya kuondoka madarakani huku wananchi mkawaachia zigo kubwa la kubeba na kusababisha kutaifishwa baadhi ya miradi na rasilimali kama ilivyowatokea ZAMBIA na SRI LANKA,. Japo na UGANDA naona Uwanja wao wa ndege unaweza kuwekwa chini ya China wakisipotia effort kulipa.
 
Kuna haja ya kuunda chombo cha kuangalia bajeti tu. Hicho chombo kiwe cha technocrats watupu na kiwe na kinga ya kisheria ili kiweze kutoa ushauri bila kuhofia chochote.

Amandla....
 
Kama ndugai hakuzungumzia hilo haimaanishi na hili asisungumzie, na hilo la nepotism na watu kutokufuata utaratibu limeongelewa sana ni moja kati ya mapungufu JPM aliyofanya kwenye hili taifa
Sawa mkuu, Ndugai kasepa mwenyewe sasa.
 
Hahahahahahaaa!! Dawa imeingia mama piga kazi tumecheleweshwa mno kama taifa
 
Ushatoka chato kufagia kwenye kaburi la yule shetani?

Enzi zake alikuwa alfa na omega haitaji hata mkewe achilia mbali bunge na mawaziri amshauri.

Na maamuzi yake ndo kila kitu.

Muacheni mama afanye apendavyo wanafki wakubwa nyinyi.

Ww ni mtu makini mno
 
Back
Top Bottom