Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

Hiyo ni hatua ya awali,lakini baada ya hapo inapita kwa kamati ya nikopo ya taifa,ndipo inaenda kwenye cabinet,na baada ya cabinet ilipita bungeni bro,fanya utafiti kabla hujaropoka

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kama hujui public finance uliza ndg yangu na kuuuliza si ujinga kuliko utumbo huu unasema hapa
 
Kwa hiyo ame bypass bunge na baraza la mawaziri, kumbe watu watatu wanaweza ku negotiate mkopo wa nchi na kuvuta mpunga..........sisi wavuja jasho tunajikuta tu tunakamuliwa tozo na kupandishiwa gharama za kuunganisha umeme kumbe mikopo tayari imeiva huko inatakiwa kurudishwa.......
 
Hadi waziri wa mifugo awepo[emoji28][emoji1787]
 
Ina maana speaker nae anakuwa ni sehemu ya maamuzi ya ikiwa mkopo uchukulie au hapana?! Halafu nyie watu acheni unafiki!
 
Chombo gani chenye mamlaka ya kuidhinisha mkopo wa nchi?
 
Nikiwa nimekaa hapa nikiota moto, imenijia akilini kuwa maadui wetu wa maendeleo TZ ni watatu tu.

• Uchawa ProMax wa Viongozi na Vijana wa UVCCM
• Kipaumbele Ni kwenye Next Election na sio Next Generation
• Presence of many Clueless Citizens

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatutaki wafia ukabila tena ktk hii nchi na mtakaa benchi mpaka kifo chenu
 
Bora samia alikuwa anakaa na wenzake wawili jumla watatu...
Mwendazake alikuwa akimka tu anaamua chattle iwe mkoa.. na kupanga mambo ya nchi akiwa mwenyewe.
 
Kama alivyokuwa Jiwe manake akafikia hadi kurekodi watu kwa siri ili afahamu kama wanamsema, au hapana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…