fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hiyo ni hatua ya awali,lakini baada ya hapo inapita kwa kamati ya nikopo ya taifa,ndipo inaenda kwenye cabinet,na baada ya cabinet ilipita bungeni bro,fanya utafiti kabla hujaropokaNikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app