Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

Hii nchi usalama wa taifa inahitaji kujipanga wamtafute mtu mwenye uwezo katika maswala ya uchumi kwa viwango vya Kimei ashike usukani wampangie baraza la mawaziri wenye taaluma watu wafanye.

CCM aina watu wenye sifa ya kutuongoza yaani raisi anasema wazi kwa lugha nyingine waziri wake alimwambia makusanyo ya sasa kulipa madeni ni shida kukopa zaidi ni kujiongezea mzigo.

Kuacha mkopo wa interest free wa tsh 1.3 trillion kwa nchi maskini ni ufala, lakini una mipango gani ya kuongeza makusanyo hapo ndio shida ilipo. Huku bandarini kumevuja, TRA umewaambia walegeze.

Kukopa kulipa ni short term solution kumudu hiyo situation unahitaji kuongeza makusanyo that’s the only out of jail card.

Busara mama asigombee 2025 hana uwezo wa kuendesha nchi na raisi sana kuongopewa she is clueless on just about everything hana abc ya jambo lolote.
 
Nafasi ya Ndugai iko wapi hapa? hii akili ndogo inayotuongoza itatupeleka pabaya zaidi, na ndio sababu Ndugai alihoji juu ya hii mikopo.

Matokeo yake badala ya kujibu hoja ya Ndugai kwa kujua amekosea akaona dawa yake amkodishie kikundi cha mipasho toka mikoani wakamsute ikulu.
Pale bungeni ndipo bajeti ya nchi hupitishwa, ikiwemo mikopo yote ya ndani na nje. Sasa kama alishindwa kusimamia nyumba yake kuhakikisha serikali inatoa maelezo ya kina ya mikopo yote na wapi itakopwa hiyo ni shauri yake, imekula kwake. Kingine tabia yake ya kukubali kuburuzwa na serikali ya awamu ya tano na kulifanya bunge kuwa tawi la mhimili mwingine ndiyo madhara yake haya.
 
huyu mama hajielewi. mtakuja kushtuka baadae too late
Clueless huo ndio ukweli wenyewe, hajui ata yepi atakiwi kuyasema.

Kauli yake itawafanya wakopeshaji waogope huko mbeleni, kumbe uwezo wa nchi kulipa madeni yake ni shida, raisi na waziri wa fedha wamesema wenyewe.

Mama Samia hana uwezo wa kuendesha nchi.
 
Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..

Wapumbavu nini!??
Kauli ile hata Mimi niliogopa mbona Mama anajikaanga mwenyewe.Kumbe Ndugai alikuwa right hakushilikishwa chochote
Marehemu naona alikuwa anashirikisha ndo maana walienda sawa na mihilili mingine maana hatukuyaona haya yanayotokea
 
Uamuzi kama huu unafanywa na waziri ambae amesema mkopo ni poa tu kwa sababu hakuna atakaegongewa hodi kulipa deni la Taifa...

Tunahitaji sheria za uratibu wa mikopo...
 
Hatujadili yaliyopita ni nonsense right now , hata hvyo pole pole alishaeleza mikopo yote ilipita bungeni, labda Bunge halikuwa live hukufatilia
 
Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!

Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Hangaya mazinguzi sana dah
 
Uamuzi kama huu unafanywa na waziri ambae amesema mkopo ni poa tu kwa sababu hakuna atakaegongewa hodi kulipa deni la Taifa...

Tunahitaji sheria za uratibu wa mikopo...
Hela zote za tozo zinapelekwa kwanza kujenga barabara jimboni kwa Waziri wa Fedha
 
Nafas ya Bunge pia haipo alaf anaenda kumshambulia ndugai , na wengine wanashangilia what a shame
Ndiyo maana wenye maono, waliochoshwa na business as usual, wanasema system kufumuliwa na kusukwa upya hakuna jipya! Haya mashambulizi na majizano yanaonyesha tu jinsi mfumo wetu wa utawala ulivyo mbovu! Yaani jambo nyeti kwa nchi kama kukopa fedha nyingi namna hii liamualiwe na watu wachache namna hiyo?
 
Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!

Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Kikao cha mawaziri huwa kinaitishwa baada ya kwanza waziri wa sekta husika kukaa na rais na katibu mkuu kiongozi na kujadili kipi kitaongelewa. Ni preliminary meeting,

Suala likiwa ni la wizara ya michezo atakaa na waziri wa michezo na katibu mkuu kiongozi wakishaafikiana ndio kinaitishwa kikao cha mawaziri wote.
 
Ndiyo maana wenye maono, waliochoshwa na business as usual, wanasema system kufumuliwa na kusukwa upya hakuna jipya! Haya mashambulizi na majizano yanaonyesha tu jinsi mfumo wetu wa utawala ulivyo mbovu! Yaani jambo nyeti kwa nchi kama kukopa fedha nyingi namna hii liamualiwe na watu wachache namna hiyo?
Ndio majukumu ya waziri wa fedha. Ni kila sekta kabla hayajafanyika maamuzi makubwa waziri husika hukaa pamoja na rais na katibu mkuu kiongozi.
 
Hata mama kwenye hotuba yake alisema,mipango yote ya serikali lazima ipitie kwa huyo mkuu wa mhimili hivyo alishangaa ageuke mkosoaji.
Ndugai alifanya pre-empting. Alianika wazi aina ya upinzani unaoifuata serikali hii haswa kutoka kwa kundi fulani la wanasiasa waandamizi.
 
Jiwe angeweza kuamka pekee yake na kuomba mkopo na hamumfanyi lolote

lakini ulikuwa unaona maendeleo aliyokuwa anayafanya jpm ukiamka unakuta flyover ukiamka unakuta daraja la busisi ukiammka unakuta maendeleo kibao
 
Nafasi ya Ndugai iko wapi hapa? hii akili ndogo inayotuongoza itatupeleka pabaya zaidi, na ndio sababu Ndugai alihoji juu ya hii mikopo.

Matokeo yake badala ya kujibu hoja ya Ndugai kwa kujua amekosea akaona dawa yake amkodishie kikundi cha mipasho toka mikoani wakamsute ikulu.
Ndugai alichofanya ni unafiki, hana hoja yoyote ya maana ya kujibiwa. Mkopo wa trilioni 1.3 unauhoji wakati JPM alikopa bilioni 29.3 kwa miaka mitano na miezi mitatu aliyokaa ikulu.

Alitaka kumzodoa Samia, kamkuta mama wa kizenji yupo imara.
 
Back
Top Bottom