OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
huyu mama hajielewi. mtakuja kushtuka baadae too late
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale bungeni ndipo bajeti ya nchi hupitishwa, ikiwemo mikopo yote ya ndani na nje. Sasa kama alishindwa kusimamia nyumba yake kuhakikisha serikali inatoa maelezo ya kina ya mikopo yote na wapi itakopwa hiyo ni shauri yake, imekula kwake. Kingine tabia yake ya kukubali kuburuzwa na serikali ya awamu ya tano na kulifanya bunge kuwa tawi la mhimili mwingine ndiyo madhara yake haya.Nafasi ya Ndugai iko wapi hapa? hii akili ndogo inayotuongoza itatupeleka pabaya zaidi, na ndio sababu Ndugai alihoji juu ya hii mikopo.
Matokeo yake badala ya kujibu hoja ya Ndugai kwa kujua amekosea akaona dawa yake amkodishie kikundi cha mipasho toka mikoani wakamsute ikulu.
Clueless huo ndio ukweli wenyewe, hajui ata yepi atakiwi kuyasema.huyu mama hajielewi. mtakuja kushtuka baadae too late
Kauli ile hata Mimi niliogopa mbona Mama anajikaanga mwenyewe.Kumbe Ndugai alikuwa right hakushilikishwa chochoteMarehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Uamuzi kama huu unafanywa na waziri ambae amesema mkopo ni poa tu kwa sababu hakuna atakaegongewa hodi kulipa deni la Taifa...
Tunahitaji sheria za uratibu wa mikopo...
Hatujadili yaliyopita ni nonsense right now , hata hvyo pole pole alishaeleza mikopo yote ilipita bungeni, labda Bunge halikuwa live hukufatilia
Hangaya mazinguzi sana dahNikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
kwa hiyo kama Magu hakukaa na mtu?!upuuzi wa mtu mmoja hauwezi kutumika kama benchmarkMarehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Hela zote za tozo zinapelekwa kwanza kujenga barabara jimboni kwa Waziri wa FedhaUamuzi kama huu unafanywa na waziri ambae amesema mkopo ni poa tu kwa sababu hakuna atakaegongewa hodi kulipa deni la Taifa...
Tunahitaji sheria za uratibu wa mikopo...
Ndiyo maana wenye maono, waliochoshwa na business as usual, wanasema system kufumuliwa na kusukwa upya hakuna jipya! Haya mashambulizi na majizano yanaonyesha tu jinsi mfumo wetu wa utawala ulivyo mbovu! Yaani jambo nyeti kwa nchi kama kukopa fedha nyingi namna hii liamualiwe na watu wachache namna hiyo?Nafas ya Bunge pia haipo alaf anaenda kumshambulia ndugai , na wengine wanashangilia what a shame
Ukisikia kuna wapumbavu basi ni huyo jamaa. Yeye kwa sababu yule kichaa alifanya makosa basi ni halali kila mtu kukosea!kwa hiyo kama Magu hakukaa na mtu?!upuuzi wa mtu mmoja hauwezi kutumika kama benchmark
Kikao cha mawaziri huwa kinaitishwa baada ya kwanza waziri wa sekta husika kukaa na rais na katibu mkuu kiongozi na kujadili kipi kitaongelewa. Ni preliminary meeting,Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Ndio majukumu ya waziri wa fedha. Ni kila sekta kabla hayajafanyika maamuzi makubwa waziri husika hukaa pamoja na rais na katibu mkuu kiongozi.Ndiyo maana wenye maono, waliochoshwa na business as usual, wanasema system kufumuliwa na kusukwa upya hakuna jipya! Haya mashambulizi na majizano yanaonyesha tu jinsi mfumo wetu wa utawala ulivyo mbovu! Yaani jambo nyeti kwa nchi kama kukopa fedha nyingi namna hii liamualiwe na watu wachache namna hiyo?
Ndugai alifanya pre-empting. Alianika wazi aina ya upinzani unaoifuata serikali hii haswa kutoka kwa kundi fulani la wanasiasa waandamizi.Hata mama kwenye hotuba yake alisema,mipango yote ya serikali lazima ipitie kwa huyo mkuu wa mhimili hivyo alishangaa ageuke mkosoaji.
Jiwe angeweza kuamka pekee yake na kuomba mkopo na hamumfanyi lolote
Ndugai alichofanya ni unafiki, hana hoja yoyote ya maana ya kujibiwa. Mkopo wa trilioni 1.3 unauhoji wakati JPM alikopa bilioni 29.3 kwa miaka mitano na miezi mitatu aliyokaa ikulu.Nafasi ya Ndugai iko wapi hapa? hii akili ndogo inayotuongoza itatupeleka pabaya zaidi, na ndio sababu Ndugai alihoji juu ya hii mikopo.
Matokeo yake badala ya kujibu hoja ya Ndugai kwa kujua amekosea akaona dawa yake amkodishie kikundi cha mipasho toka mikoani wakamsute ikulu.