Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

Nipo nae hapa tunavuta cigarettes
 
Labda LAISI
Huu urais wa kuandaliwa na mwanaidi tuone kama ataupata. Mwenyewe mpigaji ameshajulikana sasa anamuandaa mpigaji? Mbona tayari watu wanamsubiri na mawe mkononi🤣🤣😂
 
Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?

Kwa miaka 3 hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu 2 nchi nzima, January Makamba ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.

Legacy ya Makamba ni ipi hapo TANESCO?
Mbona anasubiriwa na mawe akigombea🤣😂🤣
 
Ni wazi kuwa sasa Kassim Majaliwa na mama haziivi kabisa. Ni vile tu ameona kumuondoa italeta noma, vinginevyo angemuondoa.

Ndiyo maana mama kaona bora avunje katiba amuweke mtu (naibu waziri mkuu) ofisini kwa Majaliwa ili atekeleze yale yote ambayo anayataka.

Huko ndani Kuna mtifuano usiokuwa wa kawaida. Juzi tu baosi wa usalama wa taifa kaondolewa na leo waziri wa ulinzi ameondolewa. Soon or later tutayaona ya Gabon, Burkina Faso, Mali, Niger na Liberia.

Tanzania njema yaja!
[emoji101]
 
Haya sasa Doto Biteko ameanza kugundua mauozo kibao
 
Back
Top Bottom