Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?

Hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu 2 nchi nzima, January Makamba ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.

Legacy ya Makamba ni ipi hapo TANESCO?
Bavicha bwana.
Mwisho wenu mtageuka wachawi
 
Kiko wapi kivipi.?
huoni kuwa ana andaliwa kwa nafasi ya ukuunwa ile nyumba nyeupe.
Ndiyo maana kapewa wizara nyeti.. Ambayo MARA NYINGI ni njia ya kuelekea Magogoni
yule akiwa Rais nitathibitisha nchi hii wote ni wajinga
 
Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?

Hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu 2 nchi nzima, January Makamba ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.

Legacy ya Makamba ni ipi hapo TANESCO?
Chuki inakondesha!
 
Kikwete na huyo makamba ndie aliekua muaandaji wa uandishi ktk hotuba zake.
Alimtoa kwenye ofice za UNHCR na kumleta kwenye ofice yake.
Kwa kumbukumbu zangu umetudanganya mkuu..
 
jamani kinachoniuma ni wale waliokataliwa na rais Magufuli wamerudishwa na huyu mama. Sijui mama anakuwa na interest gani na hao watu?😮‍💨😮‍💨😮‍💨
 
jamani kinachoniuma ni wale waliokataliwa na rais Magufuli wamerudishwa na huyu mama. Sijui mama anakuwa na interest gani na hao watu?[emoji50]‍[emoji100][emoji50]‍[emoji100][emoji50]‍[emoji100]
Wafanye kazi sasa
 
jamani kinachoniuma ni wale waliokataliwa na rais Magufuli wamerudishwa na huyu mama. Sijui mama anakuwa na interest gani na hao watu?😮‍💨😮‍💨😮‍💨
Ni kwasababu wote hao ni msoga gang.
 
Mkapa na Kikwete wote walikuwa Mawaziri wa Mambo ya Nje na wakaja kuwa Marais wa Tz
Sample size ya watu wawili haiwezi kutumika kutoa conclusion. Otherwise, it is called hasty generalisation, a type of logical fallacy.
 
Samplecsize

Sample size ya watu wawili haiwezi kutumika kutoa conclusion. Otherwise, it is called hasty generalisation, a type of logical fallacy.
Mpe elimu huyo mshamba
 
Ungejua Marais 2 wa nchi hii walitokea Wizara ya Mambo ya Nje ungekaa kimya.
Vipi maembe pamoja na kuhudumu kwake wizara hiyo naye kawa Rais???

Jifarijini tu [emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23]
 
Back
Top Bottom