Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Sasa kama anajua walilipwa, kuna haja gani ya kuunda tume ya kuchunguza jambo analolifahamu?Rais Samia amesema "Tumeambiwa vijana walioingia barabarani kudai haki walilipwa kwanza" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025
Kwa hio unataka kusemaje walimu wote nchi nzima waliosimamia uchafuzi wa October 29 na kuidhinisha matokeo feki wote ni mafala si ndio?Kuna mwl mwenzako kama ww naye alijifanya anatafuta haki wakati nae kutwa anatoroka kazini yaani saa 7 TU yupo kitaa...now walimdaka kwenye maandamano yupo segerea now...sasa unajiuliza ni haki Gani alikuwa anaidai wakati yy ndo alikuwa haitimizii haki nchi
She is having a bad start, wtf is wrong with herHatuwezi kuponya taifa kwa namna hii
Una akili kama za SamuyaKuna mwl mwenzako kama ww naye alijifanya anatafuta haki wakati nae kutwa anatoroka kazini yaani saa 7 TU yupo kitaa...now walimdaka kwenye maandamano yupo segerea now...sasa unajiuliza ni haki Gani alikuwa anaidai wakati yy ndo alikuwa haitimizii haki nchi
Aliyembebesha huyu mama gunia la misumari Mungu anamuona yaani wanampeleka wanavyotakaRais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025
Huyu mama ni zaidi ya tapeli. Kwahiyo anamajibu ya tume tayariRais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025
Dah 🤣🤣🤣Hata mpumbavu akikaa kimya huhesabika mwenye hekima.
Unataka kusemaje?Una akili kama za Samuya