Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,223
- 1,523
D9
Hata polisi walioua walilipwa Na bado wanalipwaRais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025
Ana shida ya kusahau alafu pia ameharibika kisaikolijia kuua watu sio kazi nyepesi inahitaji uwe na roho ngumuNingekuwa Mimi lakini, Kuna vitu sensitive nisingekuwa navitolea maelezo au kufanya jitihada vieleweke kwa urahisi...
Maana kuna msemo wa washenga kuwa kama umekosea au hauko sawa na unahitaji kueleweka.... JITAHIDI KUEPEUKA KUJIELEZEA ELEZEA AU KUTENGENEZA EXPLANATION kwasababu utaharibu zaidi
Maana navyokumbuka mama yangu wa kunizaa wakati anatoa maelezo siku ya kukalia kiti alichokipata, kwa maelezo yake alidai wale watoto hawakuwa wa Taifa teule na ndio maana hakukua na haja ya kuwapa pole kwa yaliyotokea.... Paap week moja baadae, Mama yangu akaunda Kamati ya kutatua na kufuatilia mienendo ya kilichotokea paap Ikatolewa POLE kwa waliokumbwa na madhira... Natafakari vingi, ngoja nikikaa naye Jioni nitaomba niwe naandika Mimi maelezo kwenye karatasi ili kupunguza mama yangu asiendelee kujikanganya...
Hello Tanzania..
See you 🤗
Tuonane tena 2026, February.. tukipewa uzima na Afya
Wazee wangu wa Diaspora tukutane huko majuu
Alafu walipwe na nani Sasa? Na huyo anayewalipa anafaidika na Nini? May be lengo lake ni kuhamisha magoal ili tume isijikite kwenye kiini chenyewe lakini hata hivyo ndio kakosa hoja zote ndio kaja na hii ya vijana wamelipwa???Sasa kama anajua walilipwa, kuna haja gani ya kuunda tume ya kuchunguza jambo analolifahamu?
CCM wamempa kichaa runguMmeambiwa ? Baada ya kuambiwa mlichanganya na zenu ?
Pili kama walilipwa na bado wanadai Haki zao, hata mimi ningeshukuru sana kupata hao watu wa kunilipa ili nidai haki yangu...
Ingawa ukweli ni kwamba mambo yapo ndivyo sivyo na tukiendela kwa mtindo huu wa kutumia muda kutafuta sababu ya matatizo badala ya kushughulikiwa matatizo hayo mambo yaliyotokea yatakuwa ni normal occurance...
Kuua sio Jambo jepesi damu za watu zinamuharibu saikolojiaUongo jamani.Siasa za 1945 za Joseph Goebbles rafiki wa Hitler za kusema uongo. This is 2025 Samia acha upumbavu.
Huyu kababa akili hana 😁😁😁 hivyo hata watanganyika kutokeenda kupiga kura waliongwa ? Ushahidi kuwa huyo kahaba hakuna anaye mtaka ni watu kugomea kupiga kura, tena hata ile mikoa yenye waislamu wengi ..pia wanawake wenzake kugomea kupiga kura ...sasa atuambie hata hao walihongwa ...😁😁😁Rais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025
Huyu kababa akili hana 😁😁😁 hivyo hata watanganyika kuto kwenda kupiga kura waliongwa ? Ushahidi kuwa huyo kahaba hakuna anaye mtaka ni watu kugomea kupiga kura, tena hata ile mikoa yenye waislamu wengi ..pia wanawake wenzake kugomea kupiga kura ...sasa atuambie hata hao walihongwa ...😁😁😁Rais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025