Kuna kitu hakiko sawa kwa Mama, watu wa karibu wamuangalie kwa makini.
Kwanza ni kama vile yaliyotokea kwake ni tamthilia tu, hajali, anajifanya hajui watu wanataka nini wakati yeye ni raia namba moja anataarifa nyingi kuliko mtu yoyote, muonekano wake ni kama ana hasira, majivuno na kiburi humohumo.
Mungu amsaidie sana..kwa kufunga maskio hivyo, bila shaka anguko lake atajiletea mwenyewe, stress, magonjwa n.k.
Anahitaji kusaidiwa...