Hii tume inakupotezea mda...
Sabab kuu za maamdamano;
1.Watu Kuuwawa,kutekwa na kupotea,hujakemea na hamna habari.
(Ali kibao,soka,mdude, polepole na wengine weengi)
2.Tume ya uchaguzi iliyopo,umeichagua wewe, uchaguzi hauwezi kuwa fair!
Tume huru inahitajika!
3.Katiba mpya yenye maslahi mapana kwa wananchi na kupunguza madaraka ya raisi kwenye vitu vya msingi kama rasilimali za taifa na kutoshtakiwa akitoka madarakani!
(Rais ni binadamu na yeye pia hukosea,hata Mungu atamudhibu, tuwajibishane).
Warioba alishaanza,iendelee ilipoishia!
4.Hali ya maisha imekuwa kali, ilihali watoto wa vingozi wa uma,Viongozi wa taasisi na idara nyeti wanaonesha kufuru ya pesa na vyanzo vyao vya mapato havijulikani zaidi ya ajira za serikali (UFISADI)
Na mengine mengi..ila tume haina umuhimu, Tax ametoka hapo wizarani juzi,anaweza kuwa critical.?
Kwa kifupi,imani na rais haipo.