RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Ni kweli ,walilipwa ili wapigwe risasi!
Unafikiri zile damu zimeenda bure mzee nauhakika hata sijui kama hua anafanya analysis ya hotuba zake baada yakutoa nnachojua raisi ni taasisi ila huyu yuko mwenyewe mungu anasema nae kimya kimya mpaka kieleweke bado mengi yakushangaza yanakuja mbona mziki ndio kwanza unaanza tunywe mtori nyama ziko chini ataelewa tuSasa kama majawabu anayo anaunda tume ya nini? Je, kama unakiri kuwa waandamanaji walipewa hela utashindwaje kujua aliyewapa? Hivi huyu mama hana washauri? Hata kama walipewa hela (kwa uelewa wake) hakupaswa kusema hadharani bali hiyo taarifa angewapenyezea tume kimyakimya waanze nayo. Du kweli watanzania Rais mnaye na mnatamba naye!
Kwanza tujiulize ameambiwa na nani?. Na huyo aliyemwambia kwa nini hajamwambia hao vijana walilipwa na nani?Sasa kulikuwa na haja gani ya kuunda tume wakati tayari rais ana majibu ya kilichotokea?
Yani sasa ni anawapa maelekezo, sasa tume ya kazi gani na tutegemee report gani?Sasa kulikuwa na haja gani ya kuunda tume wakati tayari rais ana majibu ya kilichotokea?
Chawa mama anakupa wakati mgumu kumtetea ila ufanyaje sasa ni kukomaa tu hakuna namna!.Hizo hela wakazitumie huko makaburini kama kuna waliobaki hai wamaliziwe
Amebadilisha gea angani....sio wageni tena aisee! Kuongoza nchi hii raha sana. Nchi inaweza hata kuongozwa na JIWE na ikatawalika!Sio wageni tenA?
Hawakawii kusema walilipwa na Mange Kimambi😂🤣😂🤣Unafikiri zile damu zimeenda bure mzee nauhakika hata sijui kama hua anafanya analysis ya hotuba zake baada yakutoa nnachojua raisi ni taasisi ila huyu yuko mwenyewe mungu anasema nae kimya kimya mpaka kieleweke bado mengi yakushangaza yanakuja mbona mziki ndio kwanza unaanza tunywe mtori nyama ziko chini ataelewa tu
Sio kwamba hana taarifaNadhani hana taarifa halisi na anazopolekewa ni potoshi
Hii ilikuwa kusaidia watu waliopatwa na maafa.How do you explain this? charity?
Utakuaje huru wakati ushakuja na hukumu waisalamu mna wengeHizo fedha watakuwa walilipwa na hawa hawa TEC uchunguzi uwe huru na ikibainika hatua kali zichukuliwe kwa wahusika