Jamaa alivuruga mambo mengi sana.
Weewe ni wale wale msoataka kukubali jamaa alidhamiria kuifanya tanzania iwe nchi ya viwanda akakazania kufika huko lazima tuwe na barabara za uhakika/ hospital za uhakika na umeme wa uhakika lakini enzi hizi mvua zinanyesha na umeme hakuna wewe utakuwa mchumia tumbo unayeishi lumumba
 
""Na ukishaajiriwa huko KUHAMA ni Kama unataka kupindus serikali.""

I understand You.

#YNWA
Yaani ukiwa kazini wanaona Kama unawabania mambo yao.

Ukiwaambia nipeni Basi Uhamisho, niwaache mfurahi Hawataki. DED ndio kabisa anasema hahamishi mtumishi.

Halmashauri ni Kama zimelaaniwa.

Yaani niko Kilimanjaro, huku hata kuku huwezi kufuga.

Kila mtu anataka kuhama🤣

Huku ukikaa hata miaka 20 utakuwa vile vile,utashiba majungu, wivu, umbeya, roho mbaya na upumbavu mwingi sana.
 
Kuna watu uwezo wao wa kujenga hoja ni mdogo sana kutokana na level ya elimu waliyonayo, ila kwako nimegundua huna kabisa huo uwezo, na siamini kuwa una level ndogo ya elimu ninachokiona kina miss ni quality tu basi.
Nikiendelea na wewe naona utazidi kunichosha.
Naona hoja hazina mpangio, hazina relevance ukipewa ufafanuzi wa hoja zako unazigeuza zionekane mtoa ufafanuzi ndie alie raise hiyo hoja.
Na opt nikusamehe kwenye mjadala huu.
 
Umenena b

Umenena vyema
 
Kijana, tafuta kazi ya kufanya.


Machawa mwisho wa siku mtafirwa.

99% ya kila mtu anaelewa isipokuwa wewe takataka, unayelazimisha script uliyopewa ikubalike.


Tumia kichwa kufikiri. Tumia nguvu na akili zako.


Uchawa siyo kazi.
 
Kilimanjaro kwetu huko,Mbona tunafuga au Upo Rombo huko kwa wazee wa kusafisha house?
 
Huo ndiyo UKWERIIIIII ,Jamaa alivuruga nchi.
 

Na hapo hujaweka mfumuko wa bei!!! Hiyo yote inayeyuka na mfanyakazi anabakia pale pale if not WORSE OFF!
 
Sasa ongezeko la mishahara la Wafanyakazi ni kila mwaka. Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amerudisha utaratibu huu baada ya kuondolewa kwa muda mrefu. Rais Samia anazidi kugusa kila hoja ya watumishi wa Tanzania, anazidi kugusa kila hoja ya Mtanzania. Hakuna kama Rais Samia. #HakunaKilichosimama
 

Attachments

  • -652801165.mp4
    2.3 MB
Hahahaaaa!Halmashauri oyeee!.
 
HV mnaochangiaga Hz mada huwa NI wafanya KAZI?nyongeza za mshahara Enzi za jk ilikuwa 5000 au 7000?
Humu ndani kama hujawahi kugundua issue za wafanyakazi huwa hawacomment wafanyakazi.. .
Kwanza angalia wanavokuwa wachungu sana na maneno ya kashfa sana kwa wafanyakazi....
Ni vijana wa chuo na wa mtaani na wake wanaojiona much know wazee wa vijiweni au ambao wana tabia ya kuuliza uliza ndugu zao wanaofanya kazi. Majibu wanayopewa bila kujua kama ni ya kweli ama ya uongo ndo wanakuja kuyashikia bango huku🤣🤣.Na kwakuwa wafanyakazi tunatunza siri za kambi tunasomaga tu comment na kucheka kimya kimya Mie kuna issue nasomaga humu mpaka nashangaa haya mambo ni ya wafanyakazi wa tanzania wu nchi nyingine..maana hayaendani na ninachokijua huko kazini. Anyway uhuru wa kuongea ni mzuri sana watu wanapunguza uchungu wa maisha tuvumiliane😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…