Rais Samia, tumia ARDHI kwa njia hii kukabiliana na changamoto ya ajira nchini

Rais Samia, tumia ARDHI kwa njia hii kukabiliana na changamoto ya ajira nchini

CCM Music

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2018
Posts
1,036
Reaction score
1,784
Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys!

Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down.

Nina wasiwasi huena ni kile kijamaa cha twitter Kigogo.
 

Attachments

Back
Top Bottom