Rais Samia: Tumuombe Mungu Marekani na Iran wazungumze misukosuko iishe, dunia irudi katika hali ya kawaida

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.

Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta, Rais Samia amebainisha kuwa hali ya dunia kwa sasa tayari imesababisha bei ya mafuta kupanda kwa 13% ndani ya wiki moja tu.

“Lakini tumuombe Mungu watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na hii misukosuko iishe ili dunia irudi katika hali ya kawaida kuendesha uchumi wa nchi zetu. Kwa hiyo ni vyema kutokana na mabadiliko hayo ya siasa za kidunia tukawa na mradi kama huu ili kujihakikishia usalama wa nishati hii ya mafuta”, amesema Rais Samia.

Kauli hii ya Rais inakuja wakati dunia ikishuhudia mtikisiko mkubwa kufuatia mapigano makali kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, hali inayozua hofu ya kukatika kwa mnyororo wa usambazaji wa nishati duniani.

Unaweka wapinzani ndani
Alafu anashauri wazungumze mataifa mengine

Unafiki haujifichi
 
Trump akimalizana na Iran atazimulika nchi za Aftika Mashariki!
 
Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.

Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta, Rais Samia amebainisha kuwa hali ya dunia kwa sasa tayari imesababisha bei ya mafuta kupanda kwa 13% ndani ya wiki moja tu.

“Lakini tumuombe Mungu watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na hii misukosuko iishe ili dunia irudi katika hali ya kawaida kuendesha uchumi wa nchi zetu. Kwa hiyo ni vyema kutokana na mabadiliko hayo ya siasa za kidunia tukawa na mradi kama huu ili kujihakikishia usalama wa nishati hii ya mafuta”, amesema Rais Samia.

Kauli hii ya Rais inakuja wakati dunia ikishuhudia mtikisiko mkubwa kufuatia mapigano makali kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, hali inayozua hofu ya kukatika kwa mnyororo wa usambazaji wa nishati duniani.
Kwahiyo, huyo mama yako anajaribu kulinganisha vita ya US/Israel vs Iran na alivyoua watu hapa nchini,

Kwa kigezo kuwa MAREKANI WARIDHIANE NA IRAN?!...(Ili HOJA YA MARIDHIANO IPATE MASHIKO HAPA NCHINI!)....

HAYO MARIDHIANO YA HUYU MAMA ANAYOYAPIGIA CHAPUO MBONA SISI TULISHAYAKATAA!!!

MWAMBIE MAMA YAKO TULISHAMKATAA YEYE NA HUYO MARIDHIANO MWENYEWE!
 
Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.

Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta, Rais Samia amebainisha kuwa hali ya dunia kwa sasa tayari imesababisha bei ya mafuta kupanda kwa 13% ndani ya wiki moja tu.

“Lakini tumuombe Mungu watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na hii misukosuko iishe ili dunia irudi katika hali ya kawaida kuendesha uchumi wa nchi zetu. Kwa hiyo ni vyema kutokana na mabadiliko hayo ya siasa za kidunia tukawa na mradi kama huu ili kujihakikishia usalama wa nishati hii ya mafuta”, amesema Rais Samia.

Kauli hii ya Rais inakuja wakati dunia ikishuhudia mtikisiko mkubwa kufuatia mapigano makali kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, hali inayozua hofu ya kukatika kwa mnyororo wa usambazaji wa nishati duniani.
Unafiki katika kiwango cha juu kabisa, yeye badala ya kukaa mezani kuzungumza ili ya nchini kwake yaende bila ya migogoro na hata bila ya kukatiwa misaada ya maendelea ambayo huwa sehemu muhimu kwenye bajeti ya miradi ya maendelea na kwenye elimu na afya badala yake anawaua, anawabambika kesi zisizo na shamans halafu anataka wa huko kwingine ndiyo wakae, wayazungumze na wayamalize.
Her psyops are cheap and pathetic.
 
Back
Top Bottom