Rais Samia: Tumuombe Mungu Marekani na Iran wazungumze misukosuko iishe, dunia irudi katika hali ya kawaida

Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.

Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta, Rais Samia amebainisha kuwa hali ya dunia kwa sasa tayari imesababisha bei ya mafuta kupanda kwa 13% ndani ya wiki moja tu.

“Lakini tumuombe Mungu watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na hii misukosuko iishe ili dunia irudi katika hali ya kawaida kuendesha uchumi wa nchi zetu. Kwa hiyo ni vyema kutokana na mabadiliko hayo ya siasa za kidunia tukawa na mradi kama huu ili kujihakikishia usalama wa nishati hii ya mafuta”, amesema Rais Samia.

Kauli hii ya Rais inakuja wakati dunia ikishuhudia mtikisiko mkubwa kufuatia mapigano makali kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, hali inayozua hofu ya kukatika kwa mnyororo wa usambazaji wa nishati duniani.

Iran watolewe tu hawa mashetani wanao nyonga watu na kunyanyasa watu kama Samia
 
A’udhu billahi minash-shaytanir-rajim shaytwani kebir .
 
hakuna kitu kinaitwa watanganyika, acha propaganda
Kwa hiyo mada ya waliouawa kuna Mzanzibari hata mmoja?

Ili nchi hii iitwe kwa utimilifu Tanzania, lazima jambo linaloongelewa lihusishe pande zote (Tanganyika na Zanzibar).

Upande mmoja usipohusika, basi jambo hilo hubakia kuwa ni la upande mmoja.

Acheni kukariri historia iliyopindishwa!
 
Yeye alimaliza tofauti na waandamanaji kwa mazungumzo ? Nafikiri ni muhimu kuacha kuongelea haya mambo, kila mtu ashinde mechi zake
 
Kwa hiyo mada ya waliouawa kuna Mzanzibari hata mmoja?

Ili nchi hii iitwe kwa utimilifu Tanzania, lazima jambo linaloongelewa lihusishe pande zote (Tanganyika na Zanzibar).

Upande mmoja usipohusika, basi jambo hilo hubakia kuwa ni la upande mmoja.

Acheni kukariri historia iliyopindishwa!
acha propaganda, polisi hawana muda wa kuangalia asili ya majambazi
 
Mtume mafwele akawateke awalete wajibu mashtaka maana hawatujui sisi ni mafia. Kama tulizuia maandamano na fujo October 29 kwa watu mil 60 wakatulia - Itakuwa hao wanaochokorana visiting machoni.
 
UK 🇬🇧 WAPIGILIA MSUMARI KWENYE
JENEZA

Tanzania ilishuhudia machafuko ya kutisha kufuatia uchaguzi wake wa mwezi Oktoba, ikiwa ni pamoja na ushahidi wa mauaji ya nje ya mahakama na kuficha kwa miili ya waliouawa. Ni lazima pawe na uchunguzi huru, wazi na wenye kuwatilia maanani makundi yote kuhusu matukio haya ili kuhakikisha uwajibikaji na haki za msingi pamoja na katiba za watanzania wote zinalindwa.
 
Huyu mama aonagi aibu kujiita Rais wa watanzania wakati hajachaguliwa na watu
 
Mkuki kwa nguruwe, mbona yeye hakuomba Mungu na kukaa juu ya meza? Mbona alikataa muafaka badala yake akauwa maelfu ya wananchi wake?

Akaja na Hakuna "Nywi nywi wala nywi nywi nywi". Mimi ndiye Amir Jesh Mkuu...!!
 
Samia 👇

Screenshot_20260304-144512.jpg
 
Kwa nini huyo mungu asubirie kuombwa ndio afanye hivyo??
 
Back
Top Bottom