Basi ilimradi upinge tu.Mbona yeye alikataa kukaa na Watanzania wenzake na kutengeneza katiba? Badala yake akawaua watu wasio na hatia.

Yeye ya uhalifu aliowafanyia waTanzania kisha yasahau mara hii?Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.
Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta, Rais Samia amebainisha kuwa hali ya dunia kwa sasa tayari imesababisha bei ya mafuta kupanda kwa 13% ndani ya wiki moja tu.
“Lakini tumuombe Mungu watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na hii misukosuko iishe ili dunia irudi katika hali ya kawaida kuendesha uchumi wa nchi zetu. Kwa hiyo ni vyema kutokana na mabadiliko hayo ya siasa za kidunia tukawa na mradi kama huu ili kujihakikishia usalama wa nishati hii ya mafuta”, amesema Rais Samia.
Kauli hii ya Rais inakuja wakati dunia ikishuhudia mtikisiko mkubwa kufuatia mapigano makali kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, hali inayozua hofu ya kukatika kwa mnyororo wa usambazaji wa nishati duniani.
Ni mtu laghai sana huyo mwanamke.Yeye wakimshauri ana wauliza who are you!!?
Tuna rais mjinga kuwahi kutokea,Toka Tanganyika iwepo
Kwa kweli 🙌😄Mnaokaa kumsikiliza huwa hamna kazi za kufanya.
Na hata kama hamna shughuli, macho na masikio yenu ndo myatumie vibaya?
Tupo Watanganyika, mnavyoua mnadhani tutaisha. Tupo tena wengi.hakuna kitu kinaitwa watanganyika, acha propaganda
Peleka kuleee.…..Mama Samia ni mpenda amani duniani
Samia yupi?Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.
Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta, Rais Samia amebainisha kuwa hali ya dunia kwa sasa tayari imesababisha bei ya mafuta kupanda kwa 13% ndani ya wiki moja tu.
“Lakini tumuombe Mungu watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na hii misukosuko iishe ili dunia irudi katika hali ya kawaida kuendesha uchumi wa nchi zetu. Kwa hiyo ni vyema kutokana na mabadiliko hayo ya siasa za kidunia tukawa na mradi kama huu ili kujihakikishia usalama wa nishati hii ya mafuta”, amesema Rais Samia.
Kauli hii ya Rais inakuja wakati dunia ikishuhudia mtikisiko mkubwa kufuatia mapigano makali kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, hali inayozua hofu ya kukatika kwa mnyororo wa usambazaji wa nishati duniani.
Keep dreamingTupo Watanganyika, mnavyoua mnadhani tutaisha. Tupo tena wengi.
I'm not Tanganyikan obviously in delusional dreams and hallucinations, keep dreaming that you know me than I know myself.Keep dreaming
MNAFIKI! Huyu ni mtu wa KUPUUZWA.Mkuki kwa nguruwe, mbona yeye hakuomba Mungu na kukaa juu ya meza? Mbona alikataa muafaka badala yake akauwa maelfu ya wananchi wake?