Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuki kwa nguruwe, mbona yeye hakuomba Mungu na kukaa juu ya meza? Mbona alikataa muafaka badala yake akauwa maelfu ya wananchi wake?“Lakini tumuombe Mungu watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na hii misukosuko iishe ili dunia irudi katika hali ya kawaida..
Unaweka wapinzani ndaniRais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.
Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta, Rais Samia amebainisha kuwa hali ya dunia kwa sasa tayari imesababisha bei ya mafuta kupanda kwa 13% ndani ya wiki moja tu.
“Lakini tumuombe Mungu watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na hii misukosuko iishe ili dunia irudi katika hali ya kawaida kuendesha uchumi wa nchi zetu. Kwa hiyo ni vyema kutokana na mabadiliko hayo ya siasa za kidunia tukawa na mradi kama huu ili kujihakikishia usalama wa nishati hii ya mafuta”, amesema Rais Samia.
Kauli hii ya Rais inakuja wakati dunia ikishuhudia mtikisiko mkubwa kufuatia mapigano makali kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, hali inayozua hofu ya kukatika kwa mnyororo wa usambazaji wa nishati duniani.
Kwahiyo, huyo mama yako anajaribu kulinganisha vita ya US/Israel vs Iran na alivyoua watu hapa nchini,Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.
Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta, Rais Samia amebainisha kuwa hali ya dunia kwa sasa tayari imesababisha bei ya mafuta kupanda kwa 13% ndani ya wiki moja tu.
“Lakini tumuombe Mungu watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na hii misukosuko iishe ili dunia irudi katika hali ya kawaida kuendesha uchumi wa nchi zetu. Kwa hiyo ni vyema kutokana na mabadiliko hayo ya siasa za kidunia tukawa na mradi kama huu ili kujihakikishia usalama wa nishati hii ya mafuta”, amesema Rais Samia.
Kauli hii ya Rais inakuja wakati dunia ikishuhudia mtikisiko mkubwa kufuatia mapigano makali kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, hali inayozua hofu ya kukatika kwa mnyororo wa usambazaji wa nishati duniani.
Unafiki katika kiwango cha juu kabisa, yeye badala ya kukaa mezani kuzungumza ili ya nchini kwake yaende bila ya migogoro na hata bila ya kukatiwa misaada ya maendelea ambayo huwa sehemu muhimu kwenye bajeti ya miradi ya maendelea na kwenye elimu na afya badala yake anawaua, anawabambika kesi zisizo na shamans halafu anataka wa huko kwingine ndiyo wakae, wayazungumze na wayamalize.Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.
Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta, Rais Samia amebainisha kuwa hali ya dunia kwa sasa tayari imesababisha bei ya mafuta kupanda kwa 13% ndani ya wiki moja tu.
“Lakini tumuombe Mungu watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na hii misukosuko iishe ili dunia irudi katika hali ya kawaida kuendesha uchumi wa nchi zetu. Kwa hiyo ni vyema kutokana na mabadiliko hayo ya siasa za kidunia tukawa na mradi kama huu ili kujihakikishia usalama wa nishati hii ya mafuta”, amesema Rais Samia.
Kauli hii ya Rais inakuja wakati dunia ikishuhudia mtikisiko mkubwa kufuatia mapigano makali kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, hali inayozua hofu ya kukatika kwa mnyororo wa usambazaji wa nishati duniani.
Yeye wakimshauri ana wauliza who are you!!?Unaweka wapinzani ndani
Alafu anashauri wazungumze mataifa mengine
Unafiki haujifichi
Ameua Watanganyika kwa maelfu.Mama Samia ni mpenda amani duniani
hakuna kitu kinaitwa watanganyika, acha propagandaAmeua Watanganyika kwa maelfu.