Rais Samia: Tumuombe Mungu Marekani na Iran wazungumze misukosuko iishe, dunia irudi katika hali ya kawaida

Yeye ya uhalifu aliowafanyia waTanzania kisha yasahau mara hii?

Asisahau, bado deni la damu ya waTanzania linamhusu yeye moja kwa moja. Hayo mengine ya duniani hana uwezo nayo.

Ni hivi: Kama hali hiyo ngumu huko duniani itatupa mori wa kuondoa takataka hii iliyopo hapa nyumbani; basi itakuwa ni heri kwetu hali duniani iwe mbaya.
 
Samia yupi?
 
Huyi mjinga anafikiri tumesahau ya tarehe 29??

Mambo ya kukaa mezani yeye miaka 4 2021-2025 mbona alishindwa?

Na nilitarajia tu vita hiyo itatumika kama fursa mafisadi wanaomiliki vituo vya mafuta watapawapandishia bei soon kisingizio ni vita ya huko.
 
Kutoka 20:7 NENO
Usilitaje bure jina la BWANA Mungu wako, kwa kuwa BWANA hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure.

Methali 6:16-35
Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake: Macho ya kiburi, ulimi mdanganyifu, mikono inayoua wasio na hatia, moyo unaopanga mipango miovu, miguu iliyo mbioni kutenda maovu, shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu.

2 Tim 2:19-22
. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu

Lk 6:46-49
Na kwa nini mnaniita, Bwana, Bwana, walakini hamyatendi nisemayo?


Marko 13:31 (pia Mathayo 24:35 na Luka 21:33), ambapo Yesu anasema: "Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe"


Gal 6:7-8
Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna




Mt 12:36-37
Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu. Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa
 
Mkuki kwa nguruwe, mbona yeye hakuomba Mungu na kukaa juu ya meza? Mbona alikataa muafaka badala yake akauwa maelfu ya wananchi wake?
MNAFIKI! Huyu ni mtu wa KUPUUZWA.
 
Yani ulimi wake unatema maudhi Kwa taifa miaka minne ni mingi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…