Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.
Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta, Rais Samia amebainisha kuwa hali ya dunia kwa sasa tayari imesababisha bei ya mafuta kupanda kwa 13% ndani ya wiki moja tu.
βLakini tumuombe Mungu watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na hii misukosuko iishe ili dunia irudi katika hali ya kawaida kuendesha uchumi wa nchi zetu. Kwa hiyo ni vyema kutokana na mabadiliko hayo ya siasa za kidunia tukawa na mradi kama huu ili kujihakikishia usalama wa nishati hii ya mafutaβ, amesema Rais Samia.
Kauli hii ya Rais inakuja wakati dunia ikishuhudia mtikisiko mkubwa kufuatia mapigano makali kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, hali inayozua hofu ya kukatika kwa mnyororo wa usambazaji wa nishati duniani.
Aβudhu billahi minash-shaytanir-rajim shaytwani kebir .Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.
Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta, Rais Samia amebainisha kuwa hali ya dunia kwa sasa tayari imesababisha bei ya mafuta kupanda kwa 13% ndani ya wiki moja tu.
βLakini tumuombe Mungu watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na hii misukosuko iishe ili dunia irudi katika hali ya kawaida kuendesha uchumi wa nchi zetu. Kwa hiyo ni vyema kutokana na mabadiliko hayo ya siasa za kidunia tukawa na mradi kama huu ili kujihakikishia usalama wa nishati hii ya mafutaβ, amesema Rais Samia.
Kauli hii ya Rais inakuja wakati dunia ikishuhudia mtikisiko mkubwa kufuatia mapigano makali kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, hali inayozua hofu ya kukatika kwa mnyororo wa usambazaji wa nishati duniani.
Ila ni upumbavu mkubwa kukaa na kumsikiliza huyo muuajiMnaokaa kumsikiliza huwa hamna kazi za kufanya.
Na hata kama hamna shughuli, macho na masikio yenu ndo myatumie vibaya?
Kwa hiyo mada ya waliouawa kuna Mzanzibari hata mmoja?hakuna kitu kinaitwa watanganyika, acha propaganda
acha propaganda, polisi hawana muda wa kuangalia asili ya majambaziKwa hiyo mada ya waliouawa kuna Mzanzibari hata mmoja?
Ili nchi hii iitwe kwa utimilifu Tanzania, lazima jambo linaloongelewa lihusishe pande zote (Tanganyika na Zanzibar).
Upande mmoja usipohusika, basi jambo hilo hubakia kuwa ni la upande mmoja.
Acheni kukariri historia iliyopindishwa!
Mkuki kwa nguruwe, mbona yeye hakuomba Mungu na kukaa juu ya meza? Mbona alikataa muafaka badala yake akauwa maelfu ya wananchi wake?
Ila kuna Wazanzibari sio?hakuna kitu kinaitwa watanganyika, acha propaganda
Ajabu iliyoje.Mbona yeye alikataa kukaa na Watanzania wenzake na kutengeneza katiba? Badala yake akawaua watu wasio na hatia.
kuna watanzania tuIla kuna Wazanzibari sio?
Huyo mama yao kila akiongea najisikia kuchafukwa roho sijui nifanyeje hali hiyo initoke!Trump akimalizana na Iran atazimulika nchi za Aftika Mashariki!