Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!


Miaka 60 baada ya uhuru
 
WanaCCM mmezoea unafiki na mnaona Mtu muwazi anawadhalilisha. Huyo u ayemsifia ndo kaua mashirika ya Umma Kwa mikopo kamdamizi, ndo kapaisha deni la Taifa kimyakimya Hadi nchi inanula madeni. Acheni unafiki.
Ttcl wamefirisika sasahivi
Kipindi kile, TTCL walikuwa wanatoa GAWIO
 
Stendi ( maendeleo ) unataka , tozo unapinga sasa hutaki hata aombe msaada. Tafakari
 
Very Sad this country
 
Angalia deni kuu la taifa miaka 5 ya Maghufuli limepanda kuliko kipindi kingine chochote mara mbili.

Kwa Maghufuli ndiyo tumekopa kuliko ma Rais wengine
 
Kuna mtu mmoja alisema, Yesu ndio mtu maarufi zaidi kuwahi kutokea kwa mujibu wa taarifa alizonazo. Akasema, kuna wanaomchukia na wanaompenda kwakuwa matendo yake yaliyowafurahisha wengi, wengi walikerwa pia!

Kuhusu kukopa mpaka pesa ya stendi ya mkoa, tusiwe wepesi kuhukumu jamani, wakina mama tunaishi nao kila leo, awe wa nyumbani au mwenye shughuli ya kumuingizia kipato chake, pesa yake, ni yake, wanasema PESA YA KUPEWA NA MWANAUME ni tamu, pengine hii dhana iko kila mahali na kila level.
 
Magufuli alikuwa MWONGO na akasababisha hata wa chini yake kuwa waongo. Na hata alipokufa tuliendelea kuambiwa uwongo na Majaliwa kuwa yuko ofsini anapitia mafaili.

Rais SSH endelea kuwa mkweli, penye hatuna pesa ongeza tozo au kakope, period
Magu alikuwa mkweli na makwepa kodi mengi yaliminywa yakatoa kodi akaendeleza miradi acha kubwabwaja ujinga.......
Ulishawahi ona Magu kapanda ndege kwenda kuomba pesa kwa mzungu!!???
Ila kwa jitu lenye fikra fupi na jizi huwa yanapenda kumponda Magu....
 
Miradi si unmeiona ama ww ni kipofu!!?
 
Kuna tetesi kuwa kuna systema JPM (R.I.P) alitengenezewa yakuangalia performance ya ukusanyaji mapato na utekelezaji wa miradi pamoja na transactions zake nchini at any time t.

Sina hakika kama system hiyo ipo active kama tetesi ni za kweli.

Big No
 
Fact
 
Na tozo ulipinga,we ni shetani,tozo hutaki na kukopa hutaki
 
Tr1.5 hazikujulikana zilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…