Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Usinilazimishe kukubali ugoro wako.

Miradi yote ya awamu ya 5 ndiyo imeonekana awamu ya 6

Walichofanya ni kuamisha miladi aliyofanya jk wakampa jiwe kama walivyofanya kwenye mabokx ya kura
 
Bandari Gess Tanzanite Zahabu Armasi Mito Maziwa Mbuga Bahari Kilimanjaro Kilimo hivyo vyote hauvioni umeona tozo na kukopa Umasikini wa fikra mbaya sana sijui nani alituroga wa tanzania
Hivyo vyote vipo,kilimo kinahitaji ruzuku na umwagiliaji,unapata wapi fedha hizo?
 
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"

_______________________________________________

Magufuli anabiringika kaburini...

Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri... na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi...

Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia...

Mpaka stendi tunaomba hela?

Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela ?

Nimesikitika kupita maelezo.... tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo...

Hivi nani alituambia stendi na masoko ndiyo vinakuza uchumi? Afadhali basi hayo masoko mapya yangetumika. Pale Dodoma kuna soko la Ndugai ni 100% underutilised- wamelifanya stendi ya daladala. Soko basically ni shade na iwe na nafasi za kupita za kutosha, iwe na mfumo mzuri wa kukusanya na ku- disposeoff waste generated na mfumo mzuri wa barabara , sasa soko la ndugai limejengwa kama hoteli ya kitalii na wafanyabiashara naturally wameona halifai. Magomeni napo kosa hilo hilo. Mtendeni kuna watu lakini si kama lile la awali. Stendi zote kubwa ni underutilised- Mbezi Mwisho, Iringa, Dodoma na nyinginezo. Sijui nani alitushauri kwamba magorofa ndiyo njia ya kusaidia wananchi
 
Hivyo vyote vipo,kilimo kinahitaji ruzuku na umwagiliaji,unapata wapi fedha hizo?

ccm inategemea watu wenye mkao wa akili kama nyie kuendelea kubaki madarakani, yani bado huoni kitu nje ya tozo na kukopa?
 
Ni jambo la aibu sana kukopa pesa za kujenga stand.
Waafrika ns watanzania kwa ujumla wanaongozwa na ubinafsi wa kisiasa.

Nchi hii imekua ni uCCM na madaraka tu ndiyo ajenda ya watawala. Hawawazi kabisa kuhusu maendeleo ya wananchi na uwekezaji wa ndani .
Tumejaza watawala wabinafsi.
Tumesimama na katiba ya kuwaneemesha watu wabinafsi.
Tumeamua kusimama na katiba inayowaneemesha watu wanaoangalia uchaguzi tu na kurudi madarani.

Hii ni aibu kubwa na janga kwa Taifa. Kuna jambo nililisikia kuwa awamu ya Tano ililenga kuleta katiba mpya Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025. Nadhani Katiba mpya ni Muhimu sana ili wananchi wachague watu kwa sera bora na sio kwa kutumia mabomu na risasi kama ilivyo sasa.

Stand ni biashara kubwa sana za Halmashauri za miji na majiji. Hakuna sababu ya kusubiri pesa toka kwa Rais wakati Jiji linaweza kuwekeza kwenye Miradi ya stand na kupata mapato zaidi huku wananchi wakiendelea kupata huduma bora.

Hivi kweli Jiji la Arusha kwa miaka 60 ya Uhuru halina uwezo wa kujenga Stand au ni hujuma tu ya watawala kutaka kuonekana kuwa wanafanya kila kitu kwa utashi wao wa kisiasa?

Hivi kweli Jiji la Arusha linashindwa kuingia mkataba na wafanyabidhara wa ndani pale Arusha wakajenga stand ya kisasa kwa makubaliano ya miaka 20 wakiwa wanachangia na Jiji kwenye kukusanya mapato ili kurudisha fedha zao.?
Kwa nini tukope toka nje wakati tuna wafanyabiashara wa ndani wanaoweza kuwekeza kwenye stand kwa kushirikiana na mabenki. Stand sio huduma ya bure bali inalipiwa mpaka choo. Kwa Jiji la Arusha ingejengwa stand yenye ukumbi mkubwa na mabaa na magrocery na maduka ingekua ni mradi mkubwa sana.

Yaani hata yale yanayoweza kufanywa na wazawa bado tunataka wageni watupe pesa.
Wananchi wanataka huduma bora sio siasa. Wanasiasa wanataka madaraka sio huduma bora.

Ndio maana tunataka katiba mpya ili tuweze kuwachagua watu wenye ushindani na hoja za ushindani zenye kufikirisha sio kama ilivyo sasa CCM nguvu yao kubwa ni kuweka watu wa kulinda ,Chama kitawale hata kwa nguvu ya majeshi, huo ni ujinga mkubwa kwa watawala Raia kutumia majeshi kuumiza na kuua watanzania ambao ni ndugu moja ili kulinda watu wachache ili tu wajineemeshe kwenye madaraka na kurithisha watoto wao madaraka.Mara sijui CCM inalinda amani ya nchi wakati kuna majeshi ambayo yamepewa kazi hiyo na wanalinda amani ili wanasiasa wasijiingize kwenye majeshi na kugawa majeshi yetu , yani watu wakiingia madarakani hawatumii tena maarifa makubwa Bali wanatumia muda mwingi kulinda nafasi zao ,mara sijui mitano tena, sijui mapinduzi daima. Wanalinda vimaneno vya ajabu ajabu vinavyowaneemesha wachache huku mambo ya wananchi kama Stand ,makazi bora ,ajira na afya vikiachwa ili viwe kamba ya kuwanyongea wale wanaowatamkia hadharani kuwa wanyongwe.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Umeshaanza kugeuka sasa, sifa ni ya waziri au Rais?
Hapo ndiyo tofauti inajionyesha kati ya wana uvccm na wale wasiyo na uccm ccm.

Wana ccm wanauliza au kuzungumza kama wamekabwa na kitanzi kwenye akili zao.
 
Hivi nani alituambia stendi na masoko ndiyo vinakuza uchumi? Afadhali basi hayo masoko mapya yangetumika. Pale Dodoma kuna soko la Ndugai ni 100% underutilised- wamelifanya stendi ya daladala. Soko basically ni shade na iwe na nafasi za kupita za kutosha, iwe na mfumo mzuri wa kukusanya na ku- disposeoff waste generated na mfumo mzuri wa barabara , sasa soko la ndugai limejengwa kama hoteli ya kitalii na wafanyabiashara naturally wameona halifai. Magomeni napo kosa hilo hilo. Mtendeni kuna watu lakini si kama lile la awali. Stendi zote kubwa ni underutilised- Mbezi Mwisho, Iringa, Dodoma na nyinginezo. Sijui nani alitushauri kwamba magorofa ndiyo njia ya kusaidia wananchi
Ile soko jiwe aliamua kulijenga tu ili kulitangaza jina la Ndugayi kiutemi tu bila kuzingatia matokeo chanya
 
Tangu muanze kukopa miaka yote mbona hatuoni matokeo chanya?
Itakua umri wako mdogo,miaka ya 90 ukienda mashuleni,palikua panaegeshwa baiskeli tu,lakini siku hizi ni magari,ukiwa na redio caseti ulionekana umepiga hatua,siku hizo TV,kompyuta ni kitu Cha kawaida,ndiyo tuna shida,Ila miaka 24 ya mwanzo wa Uhuru iliturudisha nyuma,so tulianza mosi awamu ya 2
 
ccm inategemea watu wenye mkao wa akili kama nyie kuendelea kubaki madarakani, yani bado huoni kitu nje ya tozo na kukopa?
Bila kuwa na watu wa aina ya huyo ccm leo hii isingekuwepo hapa Tanzania.
 
Itakua umri wako mdogo,miaka ya 90 ukienda mashuleni,palikua panaegeshwa baiskeli tu,lakini siku hizi ni magari,ukiwa na redio caseti ulionekana umepiga hatua,siku hizo TV,kompyuta ni kitu Cha kawaida,ndiyo tuna shida,Ila miaka 24 ya mwanzo wa Uhuru iliturudisha nyuma,so tulianza mosi awamu ya 2
Wewe ndiye wakala wa mazuzu.

Huwezi kuitenga tanzania kutoingia kwenye ulimwengu wa mabadiliko ya kiuchumi maana tanzania siyo kisiwa cha burigi
 
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"

_______________________________________________

Magufuli anabiringika kaburini...

Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri... na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi...

Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia...

Mpaka stendi tunaomba hela?

Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela ?

Nimesikitika kupita maelezo.... tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo...

alikua mkopaji mzuri sana hata alipoona haitoshi alizidiverse hadi hela za maafa huko Kagera kwenye miradi mingine
 
Bila kuwa na watu wa aina ya huyo ccm leo hii isingekuwepo hapa Tanzania.
Ccm itaendelea kutawala kwa kuwa ndiyo chama pekee kinachounganisha nchi kwa misingi ya visiwani na bara,dini..tofauti na vyama vingine ambavyo Aisha having uungwaji mkono pande mbili za muungano,na vinaungwa mkono kwa misingi ya dini na kabila
 
Back
Top Bottom