Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Tanzania karibu yote imeunganishwa kwa barabara ya lami, hiyo ni kazi ya awamu ya nne, Stendi nyingi za kisasa zimejengwa, hiyo ni kazi ya awamu ya tano, Muacheni Mama samia naye afanye yake ndio kwanza ana miezi sita tu, ana kazi ya kumalia stigler, SGR na madaraja kibao, hawezi maliza hivyo vitu bila mikopo. Magufuli kakopa lkn hivyo nilivyovitaja hakuna hata kimoja ambacho kimefika hata 50% ya ujenzi, so samia ana kazi ngumu zaidi
 
Hii ni aibu kama kweli, Stand kujenga tunaomba hela?... yaani hao watendaji wa eneo hili wameshindwa kuwaza chap namna ya kupata hela ya stand..?
 
Awamu ya 5 hawakufanya lolote zaidi ya majisifu tu .

Miradi mingi ilikuwa ni ya awamu ya mh Kikwete.

Nshakwambia Mmawia, huwa unaacomment pasipo kutumia medula oblangata yako Daah over umetoka klabu ya kimpumu au unatumia sigara kubwa,stop it ukimya nao ni busara
 
Mimi nakuambia huyo Mkwere fisadi ujenzi asingekuwa waziri Magufuli asingefanya lelote!
Kwani mwenye uamuzi wa kutoa fedha za miradi ni waziri au rais?

Wacha mahaba ya kinafiki wewe sukuma gang
 
Nshakwambia Mmawia, huwa unaacomment pasipo kutumia medula oblangata yako Daah over umetoka klabu ya kimpumu au unatumia sigara kubwa,stop it ukimya nao ni busara
Usinilazimishe kukubali ugoro wako.

Miradi yote ya awamu ya 5 ndiyo imeonekana awamu ya 6
 
Ttcl wamefirisika sasahivi
Kipindi kile, TTCL walikuwa wanatoa GAWIO
Acha propaganda za kijinga..

Ttcl wana deni la zaidi ya mara mbili ya assets zao bilioni 400+..je hili deni limetokoa baada ya hii miezi sita ya Samia?.

Uongozi wa Magufuli ulikuwa wa uongo uongo na propaganda nyingi..kusema Ttcl imefilisika sasa hivi ni mwendelezo wa propaganda..Ttcl kutoa gawio ni propaganda tu na uongo wa wazi.
 
Lakini hivi kijenga sten yq billion 20 tunashindwa hadi tukqombe mkopo wakati makusanyo ni trillion 1.6 mwa mwezi
You know nothing Kimla ! Unajua hiyo 1.6T ni kiasi gani kinaenda kuhudumia deni la taifa kila mwezi, unajua wage bill ya serikali kila mwezi? Mkuu fahamu tu uchumi wetu ni mdogo sana ndio maana tumekopeshwa kiasi cha 1.2T kutoka IMF nchi yote inashangilia. Umejiuliza swali kwanini tinashangilia mkopo wa 1.2 T wakati kila mwezi tunakusanya zaidi ya hiyo?
Tumieni akili zenu vizuri, Rais Samia sio mjinga, watanzania wengi walikuwa brainwashed na mwendazake kusema tunajenga kwa pesa zetu, kumbe kuna neno alisahau kusema kuwa tunajenga kwa pesa zetu lkn ni za mkopo tutazilipa
 
Ungekua we serikali ungepata wapi hela nje ya kukamua wananchi na mikopo?

Bandari Gess Tanzanite Zahabu Armasi Mito Maziwa Mbuga Bahari Kilimanjaro Kilimo hivyo vyote hauvioni umeona tozo na kukopa Umasikini wa fikra mbaya sana sijui nani alituroga wa tanzania
 
We hukuwahi kupata tetesi ya kupotea trilioni moja?
 
Ni ajabu kweli alafu wabongo wenye akili fupi wameridhika kabisa kwamba kuomba omba ni sehemu ya haki yetu ama maisha yetu
Ccm wataiangamiza hii nchi.
Dawa pekee ya kuepukana na hii aibu ni kuiondoa ccm madarakani.
 
Na tozo ulipinga,we ni shetani,tozo hutaki na kukopa hutaki
Tozo zinafurahiwa na watu wasiyo na matumizi ya miamala kama wewe.

Maana wewe unashukuru unapofungua mlango na kufunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…